Mkurugenzi  Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa  vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni  kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa.
Mchumi  Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada  kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana  mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa  yanafanyika mkoani humo.
Afisa  Vijana Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Florent Karist akitoa mada kuhusu maudhui ya Wiki ya Vijana leo mkoani  humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki  maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani humo.



No comments:
Post a Comment