Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa
vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni
kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa.
Mchumi
Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada
kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana
mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa
yanafanyika mkoani humo.
Afisa
Vijana Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Florent Karist akitoa mada kuhusu maudhui ya Wiki ya Vijana leo mkoani
humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki
maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani humo.
No comments:
Post a Comment