Pages - Menu
The Magazine
MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA TAREHE 23/10/2014 KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI SENGEREMA.
CHADEMA WAFANYA MKUTANO NA KUHUDHIRIWA NA WANANCHI MBALIMBALI KATIKA VIWANJWA VYA SHULE YA MSINGI SENGEREMA NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA WILAYA NA KITAIFA UKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BAWACHA, MH. HALIMA MDEE NA MWENYEKITI WA BAVICHA ALIEMALIZA MDA WAKE MH, HECHE.
LENGO KUU LA MKUTANO HUO ULIKUWA KUWAELEWESHA WANANCHI KILE KILICHOMO KATAKA KATIBA INAYOPENDEKENZWA NA UTAKAPOFIKA MUDA WA KUIPIGIA KURA YA MAONI WAIKATAE KWANI HAIKUBEBA MAONI MENGI YA WANANCHI.
LAKINI PIA NI KUWATAKA WANANCHI WAJITOKEZE KWA WINGI KATIKA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KUITUMIA FURSA HIYO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 14/12/2014.
PICHA HIZI NI KWAISANI YA DENIS NGADAYA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hongereni saana chadema kwa kuwakumbusha watu wa sengerema umuhimu wao katika nchi hii na safari yetu ya kuelekea katika ukombozi wa nchi hii mwakani mwez wa october
ReplyDelete