Mkuu
wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji
akizindua Mradi mpya wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika katika
Hoteli ya Masons Shangani, MjiniZanzibar. 
Meneja
Mradi wa huduma kamilifu kwa kinamama baada ya kuharibika kwa mimba
Ngitoria Lemonduli akielezea malengo ya mradi huo mpya uliozinduliwa leo
tarehe 16 Oktoba Hoteli ya Mnsons Shangani, Mjini Zanzibar.
Mkuu
wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji
akizindua Mradi mpya wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika katika
Hoteli ya Masons Shangani, MjiniZanzibar.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Marie Stopes Tanzania ambae ni Mkurugenzi
Rasilimali watu na Utawala Bi Elly Reweta akizungumza wakati wa uzinduzi
wa Mradi na kufunga mafunzo kwa wahudumu wa Afya Zanzibar. 
Mgeni
rasmi katika uzinduzi wa Mradi huo Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi
za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkabidhi cheti mmoja wa
washiriki wa mafunzo ya
wiki mbili ya huduma kamilifu baada ya kuharibika kwa mimba ambayo yalidhaminiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Marie Stopes Tanzania.
wiki mbili ya huduma kamilifu baada ya kuharibika kwa mimba ambayo yalidhaminiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Marie Stopes Tanzania.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo Dkta Haji Mwita Haji akizungumza na washiriki
wa mafunzo na wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi wa huduma
kamilifu baada ya mimba kuharibika. 
Baadhi
ya waalikwa na washiriki wa mafunzo ya wiki mbili ya huduma za
akinamama baada ya kuharibika kwa mimba wakimsikiliza mgeni rasmi katika
uzinduzi wa mradi huo.
No comments:
Post a Comment