
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe alipowasili katika ukubi wa Makao Makuu ya CCM Whie House kendesha kikao cha Hamlmashauri Kuu O(NEC ) ua CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, bdulrahman Kinnana na Makamu Mwnyekiti wa CCm (Bara) Phili Mangula.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kabla ya kikao hicho kuanza (P.T)

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisoma Utangangulizi na kolam ya wajumbena kumkaribisha Kikwete kuongoza, kabla ya kikao hicho kuanza. Kulia ni Mangula


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao hicho

Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo kikaoni

POLE MWANANGU: Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akimpa pole Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye anauguza mkono alioumia kwenye mpira akiwa katika ziara mkoani Iringa hivi karibuni.

Kaibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ukumbini.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akimsalimia mjumbe mwenzake, Mama salma Kikwete ukumbini

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Mboni Mhita na Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Sixtus Mapunda wakipitia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza

Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Asha-Rose Migiro akijadiliana jambo na Naibu wake wakati wa kikao hicho,

Wajumbe wakiwa ukumbini

Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Wilson Mukama, akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma kabla ya kikao.

Wajumbea wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho.
No comments:
Post a Comment