MKUTANO MKUBWA WA INJILI KATIKA KANISA LA E.A.G.T MIGOMBANI KWA JOSHUA WAWA SENGEREMA..

               MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIOANZA TAREHE 03/09/2014 NA UNATARAJIA KUISHA LEO TAREHE 07/09/2014 KATIKA  VIWANJA VYA KANISA LA E.A.G.T MIGOMBANI KWA JOSHUA WAWA.
              MKUTANO HUO UMEKARIRISHA KWAYA MBALIMBALI KWAYA HIZO NI BARAGUMU YA MIGOMBANI,   E.A.G.T MISSION  NA T.A.G KWAYA.
           MWIMBAJI  EMANUEL MGOGO  TOKA MBEYA NAE ALIKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO.
           MHUBIRI PETER DENIS   KUTOKA MOROGORO ALIKUWEPO AKIWAHUBILIA WATU WENYESHIDA MBALIMBALI.

















No comments:

Post a Comment