MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIOANZA TAREHE 03/09/2014 NA UNATARAJIA KUISHA LEO TAREHE 07/09/2014 KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA E.A.G.T MIGOMBANI KWA JOSHUA WAWA.
MKUTANO HUO UMEKARIRISHA KWAYA MBALIMBALI KWAYA HIZO NI BARAGUMU YA MIGOMBANI, E.A.G.T MISSION NA T.A.G KWAYA.
MWIMBAJI EMANUEL MGOGO TOKA MBEYA NAE ALIKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO.
MHUBIRI PETER DENIS KUTOKA MOROGORO ALIKUWEPO AKIWAHUBILIA WATU WENYESHIDA MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment