BINTI MMOJA KAKUTWA KAUWAWA MAENEO YA MAKABURI YA KATA YA NYATUKALA NA MAITI YAKE KUACHWA BEMBEZONI MWA KABURI,
BAADA YA KUFIKA KATIKA TUKIO WALICHOGUNDUA KATIKA MWILI WA MAREHU NI KUWA MAREHEMU ALIPIGWA KITU CHENYE NCHA KALI MAENEO YA MABEGA HALI ILIYOSABABISHA KUTOKWA NA DAMU NYINGI NA KUKOSWA MSAADA NDIPO MAUTI YALIPOMKUTA.
CHANZO CHA TUKIO BADO HAKIJAFAHAMIKA NA JESHI LA POLISI LINAENDELEA NA UCHUNGUZI WAKE KUBAINI NINANI WALIOHUSIKA KATIKA TUKIO HILO.
BAADA YA KUFATILIA KWA WANANCHI WA NYATUKALA KUJUA KAMA WANAMTAMBUA WALIDAI NI MGENI MAENEO HAYO.
TUNAPENDA KUTOA WITO KWA WAKAZI WA HAPA SENGEREMA KUWA MAKINI NA WATU WANAOWATILIA SHAKA. TUNAPENDA KUTOA POLE KWA NDUGU WOTE WA MAREHEMU POPOTE PALE WALIPO.
No comments:
Post a Comment