AJARI MBAYA YATOKE KATIKA ENEO LA BUKALA WILAYANI SENGEREMA NA KUPOTEZA MAISHA PAPOHAPO.

         AJARI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA KUMI JIONI YA TAREHE 28/08/2014 KATIKA ENEO LA BUKALA WILAYANI SENGEREMA NA KUPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI WALIOKUWA WAMEPAKIANA KATIKA BODABODA.
           CHANZO CHA AJARI YENYEWE NI BAADA YA MWENDESHA BODABODA KUTAKA KUTAKIZA BARABARA IKWA MBELE YAKE KUNA FUSO HIVYO KUTAKA KUIPITA BILA KUTAZAMA MBELE KUNANINI NDIPO ALIPOKUTANA NA GARI AINA YA COASTER IKITOKA BUSISI IKIELEKEA GEITA HIVYO KUWAGONGA NA KUPOTEZA MAISHA PAPO HAP0 BAADA YA HAPO DEREVA WA COASTER HIYO KUKIMBIA BILA KUFAHAMIKA ALIKOELEKEA.
            ASKARI WA USALAMA BARABARANI WALIFIKA PAMOJA NA DAKTARI NA KUICHUKUA MIILI YA MAREHEMU HAO.




    TUNAPENDA KUTOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA ZA MAREHEMU HAWA, LAKINI PIA TUNATOA RAI KWA MADEREVA WOTE KUHESHIMU MATUMIZI YA BARABARA.

No comments:

Post a Comment