EAGLE ENTERTAINMENT INAPENDA KUWATAKA KUSHEREHEKEA IDD MOSI NA MSANII STAMINA KATIKA UKUMBI WA MAYENGELA, KWA KIINGILIO CHA TSH.6000/= TU MUDA NI KUANZIA SAA 2:00 USIKU MPAKA CHOKA. LAKINI PIA KUANZIA SAA 8:00 MCHANA MPAKA 12:00 JIONI KUTAPIGWA DISCO KWA WALE WASIOTOKA USIKU KIINGILIO CHA TSH.1000/= TU. TUNAOMBENI SAPOTI YENU WADAU.
No comments:
Post a Comment