WAKAZI WA SENGEREMA TUSHEREHEKEE IDD MOSI NA MSANII STAMINA.




     EAGLE  ENTERTAINMENT INAPENDA KUWATAKA KUSHEREHEKEA IDD MOSI NA MSANII STAMINA KATIKA UKUMBI WA MAYENGELA, KWA KIINGILIO  CHA TSH.6000/= TU MUDA NI KUANZIA SAA 2:00 USIKU MPAKA CHOKA. LAKINI PIA KUANZIA  SAA 8:00 MCHANA MPAKA  12:00 JIONI KUTAPIGWA DISCO KWA WALE WASIOTOKA USIKU  KIINGILIO  CHA TSH.1000/= TU. TUNAOMBENI SAPOTI YENU WADAU.

No comments:

Post a Comment