SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA

Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.



No comments:

Post a Comment