
Staa
wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii
mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa
kumuoa msanii huyo.

Kwa
mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka
kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa
anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).

‘’Mi
sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu
tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo
alimuona Shilole kwenye picha tu na hajawahi kumuona live, na kuhusu
suala la umri alisema kuwa kama wamependana hana tatizo,ila suala la
kuchora tattoo alisema kuwa alifanya maamuzi ya haraka sana kuchora
tattoo.
No comments:
Post a Comment