
STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa kimya.

Clouds fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?
No comments:
Post a Comment