
STAA
wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri
ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua
aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa
kimya.

Clouds
fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki
wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?
No comments:
Post a Comment