MIMI ENTERTAINMENT INAKULETEA FAINALI ZA REDDS MISS SENGEREMA TRH 31/O5/2014 ITAKAYO FANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE ST. CALORY.

                         
WAREMBO WA REDDS MISS SENGEREMA WAKIWA KAMBINI KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO YA MWISHO  KWA KUJIANDAA NA FAINALI.












           HAPA WAKIWA KAMBINI RICH HILL HOTEL WAKIJIANDAA KWA MAZOEZI.

                         WAKIFANYA MAZOEZI YA KUCHEZA.









KAMPUNI YA MIMI ENTERTAINMENT INAPENDA KUWAOMBA MASHABIKI WA MBALIMBALI KUHUDHULIA FAINALI HII KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA ST.CAROL KIINGILIO  V.I.P TSH.(10000/=) VITI VYA KAWAIDA NI TSH,(5000/=) MSANII ATAKAE PIGA SHOW NI HEMED PHD  MSANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA KARIBUNI SANAAAAAAAAA.

No comments:

Post a Comment