WAREMBO WA REDDS MISS SENGEREMA WAKIWA KAMBINI KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO YA MWISHO KWA KUJIANDAA NA FAINALI.
HAPA WAKIWA KAMBINI RICH HILL HOTEL WAKIJIANDAA KWA MAZOEZI.
WAKIFANYA MAZOEZI YA KUCHEZA.
 |
| KAMPUNI YA MIMI ENTERTAINMENT INAPENDA KUWAOMBA MASHABIKI WA MBALIMBALI KUHUDHULIA FAINALI HII KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA ST.CAROL KIINGILIO V.I.P TSH.(10000/=) VITI VYA KAWAIDA NI TSH,(5000/=) MSANII ATAKAE PIGA SHOW NI HEMED PHD MSANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA KARIBUNI SANAAAAAAAAA. |
No comments:
Post a Comment