BAADA YA WANANCHI WA HAPA SENGEREMA MJINI KULALAMIKIA VIFUSI VILIVYOKUWA VIMEWEKWA BARABARANI TAKRIBANI WIKI MBILI BILA KUSAMBAZWA HATIMAE MKANDARASI VIMEANZA KUSAMBAZWA NA KUONDOA MALALAMIKO YA WANANCHI.
HAPA USAMBAZAJI UKIENDELEA KATIKA BARABARA ZA HAPA MJINI.
HAPA VIFUSI VIKIWA VIMESAMBAZWA.
HAPA WAKISHINDILIA VIFUSI VILIVYOSAMBAZWA TAYARI.
HAPA BARABARA IKIENDELEA KUSHINDILIWA. SHUKRANI KWA WOTE MULIOPAZA SAUTI ZENU KUSHINIKIZA KUSAMBAZWA KWA VIFUSI HIVI, LAKINI PIA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU WOTE MLIOCHANGIA MAWAZOYENU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII HASA FACEBOOK TUNAOMBA MUENDELEE KUFANYA HIVYO PALE YANAPOTOKEA MATATIZO KAMA HAYA YA KIZEMBE KWANI BILA KUFANYA HIVYO VIONGOZI WETU NAO WATAKAA KIMIA WAKIZANI WANANCHI WAMERIZIKA NA VITU KAMA HIVYO.
No comments:
Post a Comment