WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!


Wema Isaac Sepetu Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.

No comments:

Post a Comment