Wema Isaac Sepetu Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa
kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers,
Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni
kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.
No comments:
Post a Comment