
Gari walilokuwa wakilitumia hao matapeli likiwa limechomwa moto.
Hiyo yote ni miili ya matapeli. Mmoja aliekimbia kafahamika kwa jina la MAYUNGA ambae pia ndie mmiliki wa Gari lililochomwa moto huyo mayunga alipatwa na kisa kingine cha kuvunjiwa nyumba yake eneo la kwa makonge kata ya nyatukala hapa sengerema.
No comments:
Post a Comment