Miili ya watu wawili waliochomwa moto
Watu wawili wachomwa moto na mmoja kukimbia baada ya kujifanya maafisa wa polisi kwajili ya kufanya utapeli baada ya kustukiwa na wananchi katika eneo la nyanchenche katika ofisi ya mtendaji hapa wilayani Sengerema.
Gari walilokuwa wakilitumia hao matapeli likiwa limechomwa moto.
Hiyo yote ni miili ya matapeli. Mmoja aliekimbia kafahamika kwa jina la MAYUNGA ambae pia ndie mmiliki wa Gari lililochomwa moto huyo mayunga alipatwa na kisa kingine cha kuvunjiwa nyumba yake eneo la kwa makonge kata ya nyatukala hapa sengerema.
No comments:
Post a Comment