Eagle Entertainment Inakuletea Tufurahi Pamoja X.mass 25/12/2013,Ukumbi Mayengela Msanii SAYNAG. Kiingilio Mchana kwa watoto sh.(1000). Usiku watu wazima Tsh. (6000).Usikoseeeee.
Mwana dada Saynag akiwaburudisha Mashabiki walifurika katika moja ya show zake.
Mashabiki wakifatilia kwa karibu jinsi mwanadada Saynag anavyoshambulia jukwaa.
Hapa akiwa katika tamasha kubwa la ZIFF lililofanyika Zanzibar hapa akiimba na bendi.
No comments:
Post a Comment