Mwana dada Saynag akiwaburudisha Mashabiki walifurika katika moja ya show zake.
Mashabiki wakifatilia kwa karibu jinsi mwanadada Saynag anavyoshambulia jukwaa.
Hapa akiwa katika tamasha kubwa la ZIFF lililofanyika Zanzibar hapa akiimba na bendi.
No comments:
Post a Comment