Sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa bwana Hezron john iliyofanyika Lisbon hotel tarehe 28/08/2013.

   





                    Hezron akikata
                                          Hapa akikata tunda aina ya apple.
               Wageni walikwa  wakitoa zawadi.
        Hapo nashon akimweleza kitu hezron.
                             Alex mc akisoma karatasi ya maswali.


                            Vice mwamba akitoa nasaha.







                    Hapa ni maraika hotel walipokwenda kujipumzisha na marafiki zake  baada ya  sherehe kuisha.

No comments:

Post a Comment