Pages - Menu
The Magazine
Sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa bwana Hezron john iliyofanyika Lisbon hotel tarehe 28/08/2013.
Hezron akikata
Hapa akikata tunda aina ya apple.
Wageni walikwa wakitoa zawadi.
Hapo nashon akimweleza kitu hezron.
Alex mc akisoma karatasi ya maswali.
Vice mwamba akitoa nasaha.
Hapa ni maraika hotel walipokwenda kujipumzisha na marafiki zake baada ya sherehe kuisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment