SPIKA AMEAHIDI KUWASHITAKI POLISI WABUNGE WANAOTUMIA MATUSI BUNGENI
Spika wa Bunge bi Anne Makinda amewashambulia
wabunge leo
asubuhi na kuwaambia suti zao walizovaa haziendani na matusi yanatoka katika vinywa vyao ambayo yeye ameshindwa
kuyataja kutokana kwa madai kuwa mdomo wake hauwezi kutamka matusi hayo.....
Makinda amesema matusi ndiyo yamekuwa yakitawala
katika midomo ya wawakilishi hao na kuacha hoja inayojadiliwa hewani....
Spika wa bunge amekwenda mbali zaidi na kuwaambia wabunge hao kwamba hataangalia
chama endapo mbunge atavunja kanuni za bunge kwa kuwa kanuni za bunge
zinampa nafasi ya kuita polisi na kuja kumchukua.
No comments:
Post a Comment