Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi
ya maisha ya Rick Ross kuongezeka. Polisi wameongezeka kwenye msafara
na Hotel alioshukia Rick Ross ya The London na wamekuwa wakiskiliza
maongezi ya simu yake na kufatilia ratiba za rapper huyo mwenye Hood
yake pande za Floida Miami.
No comments:
Post a Comment