Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi ya maisha ya Rick Ross kuongezeka. Polisi wameongezeka kwenye msafara na Hotel alioshukia Rick Ross ya The London na wamekuwa wakiskiliza maongezi ya simu yake na kufatilia ratiba za rapper huyo mwenye Hood yake pande za Floida Miami.
No comments:
Post a Comment