NAIBU KATIBU MKUU WA NCCR MAGEUZI BARA AMBAE PIA NI MBUNGE WA KASURU MJINI ,MH.MOSES MACHALI AFANYA MKUTANO WA HADHALA SENGEREMA KATIKA VIWANJA VYA MUNADANI.

MH, MOSES MACHALI AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA SENGEREMA.
MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI WILAYA YA SENGEREMA MH, FRANCIS MTOKAMBALI MWENYE
FLANA YA BLUE WA PILI KUTOKA KUSHOTO.
KAMISHINA WA NCCR MAGEUZI MKOA WA MWANZA MH, RAMADHAN MRISHO AMURANI MWENYE SHETI  NYEUPE
KATIKATI NI  MH, AMINA SALUM KATIBU WA KINA MAMA WILAYA YA SENGEREMA.

MWANACHAMA WA CHADEMA AKIRUDISHA KADI  YA CHADEMA NA KUKABIDHIWA KADI YA NCCR MAGEUZI NA MH, MOSES MACHALI .

TUMAINI MNALE   ALIE KATIKATI AMBAE PIA NI MKUFUNZI WA CHUO CHA UALIMU BUNDA AKIWA NA KADI YA NCCR MAGEUZI BAADA YA KUKIHAMA CHAMA CHA CHADEMA AMBAE PIA ALIKUWA KATIA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA.JIMBO LA SENGEREMA MJINI.
BWANA TUMAINI MNALE AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA SENGEREMA.
MH, MOSES MACHALI AKISIKILIZA MASWALI KUTOKA  KWA MASHABIKI WA CHADEMA.
BWANA SIMBA AMBAE NI MWANA CHAMA WA CHADEMA AMBAE ALITAKA KUJUA MGOGOLO KATI YA MOSES MACHALI NA MH, MBATIA, KATIKA MAJIBU YA MH, MOSES MACHALI ALIDAI YEYE BINAFSI HAKUWAHI KUWA NA MGOGOLO NA MH, MBATIA  HIVYO BASI BWANA SIMBA IKAONEKANA KAKURUPUKA KUULIZA SWALI ASILOLIJUA NA KUAMBIWA NA MH, MACHALI KABLA YA KUULIZA SWALI NI VIZURI AKAFANYA TAFITI KWANZA.
MH, MOSES MACHALI AKITOA UFAFANUZI KWA MASWALI ALIOULIZWA NA WANANCHI.

      WANANCHI WALIOJITOKEZA KUSIKILIZA MKUTANO WA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI  AMBAO ULIKUWA UKIHUTUBIWA NA NAIBU KATIBU MKUU BARA  AMBAE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KASURU MJINI MH, MOSES MACHALI.

1 comment: