|
MH, MOSES MACHALI AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA SENGEREMA. |
|
MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI WILAYA YA SENGEREMA MH, FRANCIS MTOKAMBALI MWENYE FLANA YA BLUE WA PILI KUTOKA KUSHOTO. |
|
KAMISHINA WA NCCR MAGEUZI MKOA WA MWANZA MH, RAMADHAN MRISHO AMURANI MWENYE SHETI NYEUPE |
|
KATIKATI NI MH, AMINA SALUM KATIBU WA KINA MAMA WILAYA YA SENGEREMA. |
|
MWANACHAMA WA CHADEMA AKIRUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUKABIDHIWA KADI YA NCCR MAGEUZI NA MH, MOSES MACHALI . |
|
TUMAINI MNALE ALIE KATIKATI AMBAE PIA NI MKUFUNZI WA CHUO CHA UALIMU BUNDA AKIWA NA KADI YA NCCR MAGEUZI BAADA YA KUKIHAMA CHAMA CHA CHADEMA AMBAE PIA ALIKUWA KATIA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA.JIMBO LA SENGEREMA MJINI. |
|
BWANA TUMAINI MNALE AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA SENGEREMA. |
|
MH, MOSES MACHALI AKISIKILIZA MASWALI KUTOKA KWA MASHABIKI WA CHADEMA. |
|
BWANA SIMBA AMBAE NI MWANA CHAMA WA CHADEMA AMBAE ALITAKA KUJUA MGOGOLO KATI YA MOSES MACHALI NA MH, MBATIA, KATIKA MAJIBU YA MH, MOSES MACHALI ALIDAI YEYE BINAFSI HAKUWAHI KUWA NA MGOGOLO NA MH, MBATIA HIVYO BASI BWANA SIMBA IKAONEKANA KAKURUPUKA KUULIZA SWALI ASILOLIJUA NA KUAMBIWA NA MH, MACHALI KABLA YA KUULIZA SWALI NI VIZURI AKAFANYA TAFITI KWANZA. |
|
MH, MOSES MACHALI AKITOA UFAFANUZI KWA MASWALI ALIOULIZWA NA WANANCHI. |
WANANCHI WALIOJITOKEZA KUSIKILIZA MKUTANO WA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI AMBAO ULIKUWA UKIHUTUBIWA NA NAIBU KATIBU MKUU BARA AMBAE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KASURU MJINI MH, MOSES MACHALI.
Safi sana!
ReplyDelete