HILI NDIO BWAWA LENYEWE LIKIWA KATIKA HALI MBAYA.
WATOTO WAKIVUA SAMAKI KATIKA BWALA HILI.
WATOTO WAKIVUA SAMAKI KATIKA UKINGO WA KUTILILISHIA MAYA YA BWAWA.
WATOTO WAKIENDELEA NA KUVUA SAMAKI NA NDOANO ZAO.
BWAWA LIKIWA LIMEZIBWA NA MAGUGU MAJI.
WATOTO NA WATU WAZIMA WAKIPITA KATIKA NJIA ILIYOPO KATIKA BWAWA HILI.
HAWA VIJANA WAKIJISHUGHULISHA NA BIASHARA YA KUOTESHA MITI KANDO YA BWAWA HILI.
HUYU MAMA AMBAE HATUKUPATA JINA LAKE AKIWA ANANUNUA MITI.
MITI IKIWA TAYARI KWAJILI YA BIASHARA.
ENEO LA KUTUPIA TAKA LIKIWA KARIBU KABISA NA NYUMBA ZA WATU.
HII NI NYUMBA YA MZEE JAMES SOSELA AKIWA KARIBU KABISA NA ENEO LILIPOJENGWA DAMPO LA UCHAFU.
MITI AMBAYO ILIYOPO KATIKA ENEO LA KUOTESHEA MITI
NG'OMBE WAKIWA WANAKULA NYASI ENEO LA BWAWA. HILI BWAWA LILIKUWA LIKITUMIWA NA WAKAZI WENGI SANA WA HAPA SENGEREMA MJINI KWA AJILI YA MAJI YA KUTUMIA NA KWA WALE WANAFUNZI WA MIAKA YA NYUMA MTAKAKUWA MNATAMBUA UMUHILI WA HILI BWAWA KWANI NDILO LILILOKUWA LIKITUMIKA KIPINDI CHA JUMAMOSI NA JUMAPILI KWAJILI YA KUFUA, NA HATA SASA LINAPOTOKEA TATIZO LA MAJI WANANCHI WENGI HUWA WAKIENDA KUCHOTA MAJI KATIKA BWAWA HILI, SASA KWA MAZINGIRA YALIVYO SASA NA KWA HALIMASHAURI YETU YA WILAYA YA SENGEREMA KULITELEKEZA KWA KIASI HIKI NA KUZIBWA NA MAGUGU MAJI KIASI CHA KUHATALISHA MAISHA YA WAKAZI WA HAPA KWANI KWA WATOTO NI RAHISI SANA KUTUMBUKIA KWANI SEHEMU KUBWA IMEZIBWA NA MAGUGU MAJI KWANI UNAWEZA KUKANYAGA UKICHUA NI MAHALI PAZURI KWA KUKANYAGA KUMBE KUNA MAJI NA KINA KIREFU, NINI MAONI YAKO.
No comments:
Post a Comment