KAMA HAUKU PATA NAFASI YA KUHUDHULIA TAREHE 27/04/2018 PALE MAYENGELA SENGEREMA TUMIA DAKIKA ZAKO CHACHE KUTAZAMA PICHA NA MATUKIO.

Hii  ilikuwa tarehe 27/04/2018  siku ya kuazimisha miaka 15 ya kampuni ya Eagle Entertainment na uzinduzi wa mashindano ya Miss CULTURE 2018 katika wilaya ya sengerema na sherehe hii ilifanyika katika ukumbi wa MAYENGELA.


         Adamu salumu akifanya mahojiano na  Hezron kabla ya kuingia ukumbini.
       Hezro akiongea mawili matatu na willy buhilya ambae pia ndie Mc wa shuguli nzima.

                                     Beth julias akijibu maswali kutoka kwa Hezron.




                        George Adolfu mwenye shati jeupe akijibu maswali ya hezron.

                                     Michael barnaba akiwa katika mahojiano.


                              Hadija akicheka jambo baada ya kuulizwa swali na hezron.


                                       The big boss God akiteta jambo na hezron.



                            Hoja pondi mwenye kikoti  chekundu akijibu maswali

     Victor salala (wakili marufu kabisa hapa sengerema )akijibu maswali kadhaa kutoka kwa hezron.

    Mwakilishi wa benki ya NMB sengerema ndugu deo alie mkono wa kulia akijibu yale anayoulizwa na hezron.



     Wawakilishi kutoka Ms system ndugu Emma na Rojazi wakiwa wanaingia ukumbini wakitoa maoni yao kuhusu sherehe na uzinduzi wa miss culture.
         Manase john aliesimama mkono wa kulia ambae ni mtu wa karibu kabisa na kampuni ya Eagle entertainment kwani kashiriki katika mambo mengi ya kampuni.

                            Rebecka akicheka baada ya kuulizwa swali la kizushi.





                  Wageni kutoka mwanza walioalikwa na kampuni ya Eagle entetainment.





 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Eagle entertainment alievaa tisheti ya njano akifafanua baadhi ya mambo ambayo alikuwa akiulizwa kuhusiana na kampuni yake (Hassan kuku).










            Dj nas alie kaa mkono wa kushoto akiwa na george adolfu



                                                         King shinje
                                Mwinjirist mama jelemia mbozi (H.kaka) akifatilia matukio ukumbini.

 Afisa uvuvi mkono wa kushoto akifatiwa mwa meneja masoko wa TBL sister Eva.
 Warembo wa mjini  kutoka kushoto, Mariamu.akifatiwa na mkurugenzi wa minza saloon wa katikati  na mkurugenzi wa  Naima saloon wa mwisho kulia.
             Hezron john ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya sherehe akifafanua jambo.
                          Mc willy buhilya akiongea jambo na mwenyekiti wa sherehe hezron.
                                Mkurugenzi wa Naima saloon akiwa katulia kwa raha kabisa.

                                                            Hoja pondi.

                                                            George adolfu.
       Mshauri mkuu wa kamati ya sherehe jelemia mbozi (H.kaka) akiongea jambo.
 Kamati nzima ambayo umehusika kufanikisha shughuli nzima tukianzia mkono wa kushoto, Hezron john, akifatiwa na Adamu salum, George adolfu,Beth julias,Tusoga zuber,Hassan kuku na jelemia mbozi ambae hayupo pichani.

 Kiongozi mkuu wa kamati Jelemia mbozi mwenye suti nyeusi mbele akiongea jambo na kamati yake.

 Mwakilishi kutoka Ms system Emmanuel masoso  akisoma Risala kwa niaba ya mkurugenzi wa kampuni ya Eagle entertainment.

                       Kiongozi wa bendi ya Zed bendi akiwa katika pozi tofauti tofauti katika picha.
                          Vijana kutoka bendi ya Zed bendi wakiwa na kiongozi wao.


                               Mkurugenzi wa  Eagle Entertainme Hassan kuku.
                    Mwakilishi toka TBL sister Eva akiwa na Mc wa shughuli willy buhilya.






                          Vijana wa ZED bendi wakiwatumbuiza wageni walikwa.

                                                    Mgeni Rasmi akijibu Risala.
                                                                     Harison
                                     Victor salala akiwa na mkurugenzi wa Alex video production.
                                    Rojaz masoso akiwa na Michael barnaba.
                                                      Willy buhilya.
 Jelemia mbozi ambae ni mshauri mkuu wa kamati akiwa na mkewe mwinjirist mama jelemia mbozi.

                                                             Minza na Naima.
                            Meneja masoko wa TBL sengerema sister EVA akifatilia jambo.





 Kamati ya sherehe na miss culture wakijiandaa kuzindua mashindano ya miss culture.
 Mgeni Rasmi ambae pia ni afisa utamaduni akizindua msimu wa mashindano ya miss culture 2018


 Hiyo ni picha ikionyesha ni jinsi gani mashindano ya miss culture yatakavyokuwa katika uharisia wa kitanzania.
                 Mr. God akitoa ahadi ya kusaidia kufanikisha mashindano ya miss culture.
 Mkaguzi wa ndani wa hesabu za serikali kwa halmashauri ya sengerema akiahidi kutoa msaada katika mashindano ya miss culture.



       Dj abbas wa kwanza kulia akifatiwa na Hassan kuku na shabiki wa Eagle Entertainment.


Mwakilishi kutoka Ms system asaidiana na mgeni Rasmi kuzindua mashindano ya miss culture.
    Eagle Entertainment inatoka shukrani kwa wote waliofanikisha hafla ya kampuni ya  EAGLE ENTERTAINMENT.

No comments:

Post a Comment