TUMIA DAKIKA CHACHE TU KUTAZAMA TUKIO LA SHEREHE YA KUZALIWA MWANA DADA MINZA

Tarehe 17/02/2018 ndio tarehe aliyozalwa mwanada mrembo MINZA na sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa ilifanyika katika hotel ya LOI HILL iliyopo sengerema ambapo sherehe ilihudhuliwa na watu mbalimbali marufu na wasio marufu yote hiyo ni kuonyesha upendo kwa mdada huyo ambae pia katokea kuwa marufu sana SENGEREMA kwa shughuli yake ya SALOON kwa kupamba maharusi na wasio maharusi kikubwa upendezi katika muonekano mzuri.
                       TUMIA MDA WAKO KUTAZAMA BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA.
                              MINZA akiwa katika pozi tulivu kabisa.
                                                MINZA akiwa na husband wake
                                 MINZA akiwa  na friends wake katika picha ya pamoja.
     Mkono wa kulia collet,diana na leonola wakionyesha tabasamu la nguvu.
      



     MINZA akiwagiwa maji na wageni waliofika kuonyesha upendo kwake.



     Mkono wa kulia sister mage,anaefuata ni willy buhilya alikini pia ndie alikuwa akisherehesha.
MINZA akiwa na mariki zake katika picha ya pamoja wakionyesha furaha.
               Kwaniaba ya kampuni ya Eagle Entertaiment tunakupongeza kwa kutimiza umri huo.

No comments:

Post a Comment