NI WIKI MOJA TU IMEBAKI KWAJILI YA UZINDUZI WA ALBUM YA NEEMA MBOZI SIKU YA PASAKA TAREHE 17/04/2017.

 Tunaombwa kuhudhulia kwa wingi katika  uzinduzi wa album ya UZURI WAKO kutoka kwa mwana mama NEEMA MBOZI utakaofanyika siku ya jumatatu ya pasaka, katika ukumbi wa SENGEREMA SEKONDARI kwa kiingilio cha Tsh. 2000/: kwa watu wazima na  Tsh. 1000/: kwa watoto.ulinzi wako na mali zako ni uhakika.

No comments:

Post a Comment