GET READY FOR X.MASS SENGEREMA NI BOB JUNIOR KATIKA UKUMBI WA MAYENGELA. 25/12/2016/

  Eagle Entertainment inawaletea bonge la vibe katika wilaya ya sengerema siku ya tarehe 25/12/2016 katika ukumbi wa mayengela kwa kiingilio cha Tsh. 6000/: tu

                      MSANII ATAKAE WAPAGAWISHA KWA NGOMA KIBO

                                        Rais wa masharobaro tanzania.

                                                         BOB  JUNIOR.











                                            zitapigwa nyimbo kibao za zamani na mpya zote.
BILA KUSAHAU KWA WALE AMBAO HAWARUHUSIWI USIKU HATUKUWASAHAU PI.
    Tukutane siku hiyo ya terehe 25/12/2016 katika ukumbi wa mayengela kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 12:00 jioni kwa kiingilio cha Tsh. 1500/: tu ulinzi wa uhakika.

No comments:

Post a Comment