Kwanini ukose show la kijanja kabisa toka kwa msanii anaefanya poa kabisa katika bongo fleva hapa na mzungumzia MIRROR alie katika usimamizi wa mwandada anaetengeneza vichwa vya magaziti ya bongo namzungumzia WEMA SEPETU. hivyo basi jisogezi siku ya IDD MOSI katika ukumbi wa MAYENGELA kwa KIINGILIO CHA TSH.6000/: tu usikose mtu wangu.

No comments:
Post a Comment