Mtu wangu wa usiku wa February 5 Christian Bella mkali wa masauti akiwa pamoja na Jimmy Chansa walifanya bonge moja la show katika ukumbi wa Rhapsody uliyopo Viva Tower, show ya Christian Bella na Jimmy Chansa ilipewa jina ya The First Friday wakiwa na maana kuwa ni show ya ijumaa ya kwanza ndani ya mwezi February. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 20 ya kilivyohappen usiku wa February 5
No comments:
Post a Comment