Baada ya kusaini deal na kampuni ya Sony Music kama msanii wa kwanza Afrika Davido ambaye staa toka lebo ya HKN. Hivi karibuni pande za New York Davido alihaidi kwa mtangazaji mmoja kuwa akirudi nyumbani kwao Nigeria atasherekea dili yake hiyo ya Sony Music.
Davido anajiandaa kusherehekea dili hilo pamoja na mashabiki wake na amepanga akirudi kutoka New York atatoa Naira milioni 2 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 21 za Kibongo, tukio ambalo anasema ni sehemu ya kushea furaha yake na mashabiki wake.
No comments:
Post a Comment