Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais wa Tanzania
ulifanyika October 25 2015, baada ya hapo matokeo yakatoka na kukawa na
stori mfululizo kuhusu ishu ya matokeo ikiwemo Wabunge wengine
waliofungua kesi Mahakamani kupinga matokeo.
Mmoja ya Wabunge ambao walifunguliwa kesi za kupingwa Ubunge Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya nae alikuwa na kesi iliyofunguliwa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza.
Kwanza ni kwamba Mahakama hiyo imefuta
kesi hiyo, kingine ni kwamba Mahakama hiyo imesema waliofungua kesi hiyo
ni wapigakura ambao hawana mamlaka ya kufungua kesi ya aina hiyo.
No comments:
Post a Comment