Tarehe 14/11/2015 ilikuwa siku ya kipekee kwa wadau na mashabiki wa burudani na Eagle Entertainment, party hii iliwakutanisha wadau kama 40 hivi katika ukumbi wa MAYENGELA.
Party ilianza kushuhudia wageni wakiingia taratibu katika ukumbi huo kisha kujiweka katika viti walivyoandaliwa na uongozi wa Eagle Entertainment.Lengo likiwa kubadilishana mawazo na kukumbushana walikotoka,walipo na wanapokwenda.
HIZI NDIZO PICHA TULIZO KUSOGEZEA MDAU WETU.
Mkurugugenzi wa Eagle Entertainment akishukuru wageni waliohudhulia party.
Mkurugenzi wa African beauty saloon, Msafiri jongo akizungumza machache.
No comments:
Post a Comment