TARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM ) MWAKA 2010--2015 JIMBO LA SENGEREMA CHINI YA MBUNGE WILLIAM MGANGA NGELEJA.

       MHE. WILLIAM MGANGA NGELEJA  ( mb ) MTAMBO WA MAENDELEO JIMBO LA SENGEREMA.

         JIMBO LA SENGEREMA.
O1 CHANZO:
             Uibuaji mradi au miradi, Wananchi wenyewe  huweka  kipaumbele katika mazingira wanayoishi, Miradi hii  jamii hushirikishwa kikamilifu. Wananchi hupata nafasi ya kutoa  maoni yao wakiwa HURU. Njia ianayotumika kushirikishwa:
       1.Mkutano wa Halimashauri ya kijiji au mtaa, wajumbe waliochaguliwa hupata nafasi ya uchambuzi wa miradi na kutoa mapendekezo kwa wajumbe wa mkutano mkuu.
        2.Mkutano mkuu wa kijiji au mtaa  huitishwa na wajumbe kushirikishwa kujadili miradi iliyowasilishwa mbele yao. Hatimaye hupitishwa ikiwa na maombi katika bajeti ya serikali kwa kila mwaka wa fedha. Miradi hii huitwa mipango kazi na bajeti ya mwaka wa fedha. Mikutano huongozwa na mwenyekiti wa serikali ya kijiji au mtaa.Halmashauri ya wilaya  hupokea mapendekezo ya miradi ya vijiji.Kupitika kikao cha kamati ya maendeleo ya kata ( WDC )ambayo huongozwa na diwani na baadayehuiratibu na ndiye huifikisha kwenye  kikao cha baraza la madiwani.Ikiwa ni mipango kazi na bajeti ya mwaka wa fedha  itakayojadiliwa na Baraza la  halmashauri ya wilaya. Mbunge hushiriki kikao hiki akitambuliwa na kanuni za serikali za mitaa kuwa miongoni mwa madiwani, na hivyo kuwa mjumbe wa Braza la madiwani.
        Nafasi ya mbunge katika bajeti ni kutoa maoni/ushauri na kuomba fedha za miradi katika mipango kazi iliyojadiliwa na wananchi. Hivyo ni mhimu jamii kutambua umhimu walionao katika mikutano mikuu.
         Miradi iliyopata fedha kutoka serikali kuu na Halmashauri ni ile ambayo wananchi wanaianzisha kwa fursa walizonazo ikiwa ni nguvu kazi na serikali inakamilisha kama inavyonekana katika mtiririko ufuatao.
NO 1. KATA YA BUYAGU.
              kijiji cha bitoto. Diwani, leonard kadinda.
                      JINA LA MRADI. ukamilishaji chumba cha darasa bitoto sekondari(,2010--2011) gharama  9,000,000/: Utengenezaji madawati shule ya msingi bitoto. ( 2010-2011) tsh.780,000/: Ukamilishaji nyumba ya mwlimu bitoto seko. (2010-2011) tsh.12,000;000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa bitoto seko.(2012-2013) tsh.9,000,000/: Miradi ya maji ya bomba  Buyagu, Kalangalala, Bitoto(2013-2014) tsh.1,300,000,000/: Ukamilishaji chumba cha darasa bitoto seko(2013-2014)tsh.12,000,000/: Ujenzi wa soko bitoto.tsh.48,000,000/; 
               Kijiji cha Isole. Ukamilishaji wa jengo la OPOD zahanati ya kijiji cha Isole (2010-2011) tsh.24,680,000/: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Isole (2011-2012) tsh.7,000,000/;
       
                Kijiji cha Buyagu.
                                  Ukamilishaji chumba cha darasa Buyagu sekondari (2011-2012)tsh.9,000,000/; Ukarabati wa josho la ng'ombe Buyagu (2011-2012)tsh.11,000,000/: Ukamilishaji nyumba ya mwalimu Buyagu seko.(2012-2013)tsh.12,000,000/: Ukamilishaji nyumba ya mwalimu Buyagu s/m.(2012-2013)tsh.7,000,000/: Ukamilishaji wa maabara Buyagu seko.(2012-2013)tsh.20,000,000/: Ukamilishaji wanyumba 2 za walimu. Tsh.14,000,000/: Uwekaji wa umeme zahanati ya Buyagu. Ujenzi wa kituo chakuopoa magugu maji.Tsh.45,000,000/:
                   Kijiji cha Mlaga.
                                        Uchimbaji wa kisima kirefu kijiji cha mlaga (2012-2013) tsh.23,000,000/: Ukamilishaji wa OPD zahanati ya kijiji chamlaga(2011-2013)tsh59,000,000/: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu mlaga s/m (2013-2014)tsh.9,000,000/: Choo nyumba ya mganga Tsh.37,000,000/: Nyumba ya mwalimu mlaga s/m.7,000,000/:
                Kijiji cha kalangalala.
                                           Ujenzi wa kisima kirefu kijiji cha kalangalala(2012-2013) tsh.23,000,000/: Ukarabati nyumba ya mganga ujenzi wa mfumo wa maji. Tsh.7,000,000/:
                               JUMLA KWA KATA YA BITOTO NI  Tsh. 1,768,460,000/:

             
               

    NO 2 .KATA YA NYAMAZUGO.
                Kijiji cha nyamazugo. Diwani Enock sengerema.
                        JINA LA MRADI.ukamilishaji wa chumba cha darasa Nyamazugo sec.(2010-2011)tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa  Nyamzugo sec. 92012-2013) tsh.9,000,000/; Ukamilishaji wa jengo la OPD zahanati ya Nyamazugo(2010-2011).tsh.40,000,000/: Ukamilishaji chumba cha darasa  Nyamazugo sec. (2011-2012)tsh.9,000,000/: Utengenezji wa madawati s/m Nyamazugo700,000/:Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m Bongonya.7,000,000/:Ukamilishaji nyumba ya mganga.H/W. tsh. 20,777,777/: Uvutaji wa maji sekondari ya nyamazugo tsh.700,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa  sec.nyamazugo(2014)tsh.9,000,000/: Kuvuta maji bongonya(2012-2013)tsh13,000,000/: Uwekaji wa solar zahanati ya nyamazugo REA.Ukarabati wa maabara nyamazugo (2014)tsh.5,000,000/: Vifaa vya maabara.Tsh.5,400,000/: Kuweka umeme zahanati ya nyamzugo.Tsh.1,600,333.
                  Kijiji cha Nyamizeze.
                                                Utengenezaji wa madawati s/m nyamizeze. Tsh.780,000/: Upanuzi wa mtandao wa maji kang'washi(f/plan2012-2013)tsh.15,000,000/: Ukamilishaji nyumba ya mwlimu nyamizeze s/m.(2013-2014)tsh.9,000,000/: Matengenezo ya kawaida barabara ya Nyamizeze,kijukana nyamazugo. Tsh.6,600,000/: Mbati 25 toka H/W (2013) Tsh.780,000/: Matundu ya vyoo 2 (2014) Tsh.7,500,000/: Uwekaji wa umeme zahanati ya nyamizeze REA.
                 Kijiji cha kijuka.
                                         Ukamilishaji wa chumba darasa kijuka sec.(2010-2011).tsh.9,000,000/:Ukamilishaji wa chumaba cha darasa kijuka sec.(2013-2014) tsh.12,000,000/: Matengenezo ya kawaida ya barabara ya kijuka nyamahona. Tsh.6,000,000/: Kutengeneza daraja la mto Aderea (2010-2011)tsh.7,000,000/: Kutengeneza barabara ya kijuka bongonya.(2011)tsh.11,3000,000/: Kujenga visima vya kunyweshea ng'ombe (mbirika) (2011-2012)tsh.11,400,000/: Ukamilishaji wa matundu ma 8 ya choo seko.kijuka(2011)tsh.2,500,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa sek.kijuka (2013-2014)tsh.9,000,000/: Ukarabati wa vyumba 2 vya maabara. Tsh.5,000,000/: Kupokea vifaa,mabati,mbao,misumari na makoa Tsh.5,100,000/:
                Kijiji cha Mwaliga.
                                           Upanuzi wa mradi wa maji kijiji cha mwaliga.(2010-2011)tsh. 10,500,000/: Ukamilishaji nwa matundu ya vyoo mwaliga sek(2012-2013)tsh.6,000,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa mwaliga sek. Tsh.9,000,000/: Ukarabati wa maabara ya mwaliga sek.(2015).tsh.5,000,000/: Vifaa vya ujenzi,mabati,mbao,misumari na makoa.(2015)tsh.5,400,000/:
      
                   JUMLA KWA KATA YA NYAMAZUGO NI Tsh. 285,718,443/:

    NO 3. KATA YA KISHINDA.
                                                  Kijiji cha kishinda .Diwani Silvanus Bulapilo.
                                   JINA LA MRADI.ukamilishaji wa chumba cha  darasa kishinda sek.(2010-2011)tsh.9,000,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa kishinda sek.(2012-2013)tsh.9,000,000/: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu kishinda sek(2011-2012)tsh.12,000,000/: Ujenzi wa choo na shimo la maji machafu kwenye josho.(2011-2012)tsh.8,000,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa na choo kishinda sek.(2013-2014)tsh.15,000,000/:
                                               Kijiji cha Tunyenye.
                                                                         Ujenzi wa choo na shimo la maji machafu kwenye josho.(2011-2012)tsh.8,000,000/: Ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu tunyenye sek(2012-2013)tsh12,000,000/:  Ukamilishaji wa chumba  cha darasa  tunyenye sek.(2012-2013)tsh.9,000,000/:
                                               Kijiji cha Mami.
                                                                     Uchimbaji wa kisima  kirefu kijiji cha mami.(2012-2013) tsh.23,000,000/:
                                                                 
                                                Kijiji cha Isebya.
                                                                     Utengenezaji wa  madawati shule ya msingi Isebya Tsh.780,000/: Ukamilishaji wa chumba cha darasa  s/m Isebya (2011-2012) tsh.5,500,000/:  Ukamilishaji wa chumba  cha darasa la s/m Isebya (2013-2014)tsh.7,000,000/:

                             JUMLA KWA KATA YA  KISHINDA NI Tsh.118,280.000/:

     
    NO 4. KATA YA BUSISI.
                                            Kijiji cha Nyitundu. Diwani Joseph njiwapoli.

                                JINA LA MRADI. ujenzi wa matundu ya vyoo 6. s/m nyitundu (2011-2012)tsh.3,900,000/: ukamilishaji wa ujenzi wa choo cha ofisi ya kata busisi Tsh.2,000,000/: ukamilishajiwa nymba ya mwalimu s/m nyamasale. Tsh.7,000,000/: ukarabati wa josho kijiji cha nyamasale (2011/12)tsh.11,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa mkomba s/m (2012/13)tsh.5,500,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu busisi sek(2013/14)tsh.15,000,000/: ukamilishaji wa nymba ya mganga(two in one) zahanati ya abusisi. Tsh.57,000,000/: ukarabati wa mshine ya maji busisi (2014/15) tsh.2,400,000/: :ukarabati wa wodi ya ke na me kituo cha afya busisi(2013/14)tsh.29,000,000/:
                                     Kijiji cha Khumulo.
                                                              ukamilishaji wa chumba cha darasa kahumulo sek.(2011/12)tsh.9,000,000/: ukamilishaji nymba ya mwalimu kahumulo s/m.(2012/13)tsh7,000,000/:ukamilishaji nyumba ya mwalimu kahumulo seko.(2012/13)tsh.12,000,000/: ukamilishaji chumba cha darasa kahumulo sek(2012/13)tsh.12,000,000/: uchimbaji wa kisima kirefu kijiji cha kahumulo (2012/12)tsh.23,000,000/: uchimbaji wa kisima kierfu kijiji cha kahumulo.(2012/13)tsh.11,000,000/: ukamilishaji wa nymba ya mwalimu s/m kahumulo.Tsh.7,500,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa kahumulo sek(2013/14)tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu kahumulo sek.(2013/14)tsh12,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa kahumulo sek.(2014/15)tsh.12,000,000/:
                                   kijiji cha nyamasale.
                                                            ukarabati wa josho kjiji cha nyamasale.(2011/12)tsh.3,000,000/: uchimbaji kisima kirefu kijiji cha nyamasale.(2012/13)tsh.23,000,000/: ujenzi wa choo s/m nyamasale.(2013/14)tsh.2,000,000/:
                                   Kijiji cha Lubanda.
                                                            ukamilishaji wa chumba cha darasa lusikwi sek.(2010/11)tsh.9,000,000/:
                                  Kijiji cha nyitundu
                                                            ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu (two in one)s/m nyitundu.(2013/14)tsh.38,000,000/:

                            JUMLA KWA KATA YA BUSISI NI Tsh.354,300,000/:


     NO 5. KATA YA NYATUKALA.
                                                      Diwani salehe musabaha.
                                                                   ukamilishaji chumba cha darasa kilabela sek.(2010/11)tsh.9,000,000/: ukamilishaji chumba cha darasa kilabela sek.(2011/12)tsh.9,000,000/: uukamilishaji chumba cha darasa kilabela sek.(2012/13)tsh.9,000,000/: uukamilishaji wa matundu ya vyoo kilabela sek.(2012/13)tsh.6,000,000/:ukamilishaji chumba cha darasa s/m mweli.(2011/12)tsh.5,500,000/: uujenzi wa ofisi ya kata nyatukala.(2012/13)tsh.42,000,000/:ujenzi wa chumba cha darasa mweli 2. Tsh.5,500,000/: ujenzi box culvate maeneo ya nyatukala(2012/13)line 3 tsh.9,000,000/:ujenzi wa barabara kiwango cha molamu km 1.(2012/13)tsh.12,000,000/: matengenezo ya barabara sehemu korofi km 1(2012/13)tsh.2,500,000/: ujenzi wa kalvati line 2(2013/15)tsh.2,586,000/: ukarabati wa daraja eneo la makonge Tsh.4,000,000/; kalvati line 4 Tsh.12,000,000/: barabara km1 molamu Tsh.12,000,000/:

      NO 6. KATA YA MWABALUHI.
                                                        Ukamilishaji wa madarasa mawili mwabaluhi s/m. mbao 2x4pc 50= 400,000/: mbao 2x3 pc 43=344,000/: mabati gauge 28mt3 pc15=360,000/:mabati gauge mt 21/2 pc15=330,000/: misumari yabati.kg,12=42,000/: misumari inchi 3 kg 6=18,000/:misumari inchi 4 kg11=33,000/: misumari inchi 6 kg 9=31,500/: misumari inchi 2 kg 5=15,000/: makoa pc 50=30,000/: binding mire kg 8=32,000/: fisherboard 1x8 pc 338,000/:
                        JUMLA NDOGO NI Tsh. 1,973,500/:

     NO 7. KATA YA NYAMATONGO.
                                                 Kudhibiti mmomonyoko shule ya msingi nyamatongo Saruji mifuko 50.
                                      JUMLA NDOGO NI Ths.950,000/:

    NO 8. KATA YA BUYAGU.
                                           1: ujenzi wa hostel buyagu sekondari, simenti mifuko 100 =1,900,000/:
                         JUMLA NDOGO NI Tsh. 1,900,000/:
                                           2:ujenzi choo matundu 4 mlaga s/m (zahanati). simenti mifuko 50=950,000/; nondo mm 16 pc 12=32,000/: nondo mm 12 pc 6 108,000/: mbao 2x3 pc 12= 96,000/; mbao 2x4 pc 16 =128,000/: wire mesh pc 8 168,000/: rangi ya maji ltr 40 =660,000/; rangi y mafuta kopo 24 =114,000/; misumari ya bati kg 6 =21,000/; misumari inch 3 kg 4 =12,000/;misumari inch 4 kg 4 =12,000/:misumari 0.5 kg 2 =6,000/: binding wire kg 10 =30,000/:mabomba 2pvc pc 6 =90,000/:
                           JUMLA NDOGO NI Tsh. 4,000,000/:
                                            3: uwekaji wa magoli bitoto s/m .kutengeneza magoli,kuyasafirisha na kuyasimika. Tsh.600,000/:
                                            4 : ujenzi wa vyumba 4 vya darasa, mawe tripu 28 Tsh. 840,000/: ghalama ya fundi Tsh.660,000/;
                           JUMLA NDOGO NI Tsh. 1,500,000/:

   NO 9. KATA YA KISHINDA.
                                             Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kijiji cha isebya saruji mifuko 10.=190,000/: .ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika kijiji cha mami. saruji mifuko 10 =190,000/; ukamilishaji wa boma la chumba cha darasa  shule ya sekondari kishinda. saruji mifuko 10 =190,000/: ukarabati darasa la s/m kishinda saruji mifuko 8 =152,000/: ujenzi wa choo shule ya sekondari kishinda. saruji mifuko  42 =798,000/:ukamilishaji ofisi ya walimu tunyenye sek. mbao 2x4 pc 10 =80,000/: mabati g.28 pc 20 =480,000/:
                             JUMLA NDOGO NI Tsh.2,000,000/:

    NO 10. KATA YA IBISABAGENI.
                                                   Kuwezesha vikundi kupata mitaji.
                                                                                          Mtaji wa nyabutanga group. Tsh.1,500,000/:
                              JUMLA NDOGO NI Tsh.1,500,000/:
                           JUMLA KUU NI Tsh .50,411,500/:


     VIFAA KWAJILI YA KUCHOCHEA MAENDELEO JIMBO LA SENGEREMA  2014--2015.

Tarehe 08/05/2015. KATA YA CHIFUNFU.
                                                                 Kijiji cha chifunfu
                                                                           JINA LA MRADI.
                                                                      Ujenzi wa vyumba vya madarasa lyakanyasi s/m.
                                                                              Vifaa, saruji pc 80@19,500 = tsh.1,156,000/: mabati.g,28,60@24,500 =1,470,000/: mbao 2x3 pc 48@ 10,500 =504,000/; mbao 2x3 pc 30@ 9,500 = 285,000/;
                                                                Kijiji cha nyakahako
                                                                             JINA LA MRADI.
                                                                      Ujenzi wa nyumba ya mwalimu s/m nyakahako.
                                                                               Vifaa,bati g,28 pc 100@24,500 = 2,450,000/: ujenzi  zahanati ya kijiji, saruji pc 100@19,500 =1,950,000/;
                                                    JUMLA NDOGO NI Tsh.7,815,000/:
Tarehe 09/05/2015. KATA YA NYAMAZUGO.
                                                                 Kijiji cha kijuka.
                                                                               JINA LA MRADI.
                                                                         Ujenzi wa maabara shule ya sekondari kijuka.
                                                                                 Vifaa,saruji pc 20@19,500 =390,000/:
                                                                Kijiji mwaliga
                                                                               JINA LA MRADI.
                                                                        ujenzi wa maarabara shule ya sekondari mwaliga
                                                                             Vifaa,saruji pc 20@19,500 =390,000/:
                                                                 Kijiji cha nyamazugo.
                                                                               JINA LA MRADI.
                                                                         ujenzi wa maabara shule ya sekondari nyamazugo,
                                                                               Vifaa saruji pc 170@19,500 =3,315,000/: ujenzi wa choo zahanati ya nyamazugo. Vifaa ,saruji pc 20@19,500 =390,000/:
                                                    JUMLA NDOGO NI Tsh.4,485,000/:
 Tarehe 11/05/2015. KATA YA KASUNGAMILE.
                                                              Kijiji cha nyantakubwa.
                                                                                    JINA LA MRADI.
                                                                               ujenzi wa zahanati, saruji pc 20@19,500 =390.000/: ujenzi wa nyumba ,jengo la utawala na maabara sekondari ya kasungamile, saruji pc 100@19,500=1,950,000/;
                                                JUMALA NDOGO NI Tsh.2,340,000/:
                               KATA YA KATUNGURU.
                                                           Kijiji igalagalilo.
                                                                                       JINA LA MRADI.
                                                                              Kijiji kitapanga matumizi ,bati g 28 pc50 @24,500 =1,225,000/:
                                                                              Kijiji cha nyamtelela. ujenzi chumba cha darasa na nyumba ya mwalimu,bati g.28 pc 100@24,500 =2,450,000/:
                                                       JUMLA NDOGO NI Tsh.4,650,000/:
 Tarehe 12/05/2015. KATA YA KAGUNGA.
                                                        Kijiji cha kagunga,
                                                                          JINA LA MRADI.
                                                               Kijiji kitapanga matumizi ya vifaa, bati g.28 pc 50@24,500,saruji pc 50@19,500.
                                                     JUMLA NDOGO NI Tsh.2,200,000/:
                                   KATA YA IGALULA.
                                                       Kijiji ngoma A.ujenzi wa zahanati sota. saruji pc50@19,500 =975,000/: bati g,28 pc 100@24,500=Tsh.2,450,000/: ujenzi wa choo s/m ngoma, bati g,28 pc 50@24,500=Tsh.1,225,00/:
                                              JUMLA NDOGO NI Tsh.4,650,000/:
  Tarehe 13/05/2015. KATA YA IGULUMUKI.
                                                       Kijiji cha igulumuki. ujenzi wa maabara, saruji pc 100@19,500= 1,950,000/:
                                  KATA YA NYATUKALA.
                                                       Kijiji kilabela.ujenzi wa maabara sekondari ya kilabela saruji pc50@19500=tsh.975,000/:ujenzi wa madarasa shule ya msingi isungang'holo. saruji pc 50@ 19500 = 975,000/:
                                                 JUMLA NDOGO NI Tsh.1,950,000/:
                                     buzilasoga ,ikoni. ujenzi wa zahanati saruji pc,100@19,500 = 1,950.000/:ujenzi wa maabara, saruji pc 150@1.,5oo = tsh.2,025,000/:
                                                JUMLA NDOGO NI Tsh.4,875,000/:
  Tarehe 14/05/2015 . KATA YA TABARUKA.
                                               Kijiji cha busulwangili. ukamilishaji wa darasa na ofisi bati g 28 pc80@24,500 = tsh.1,470,000/:
                                                JUMLA NDOGO NI Tsh.2,259,000/:
                                   KATA YA NYAMATONGO.
                                              Kijiji cha nyalwambu. ujenzi wa zahanati, saruji pc 100@19,500 = tsh.1,950,000/:
                                                JUMLA NDOGO NI Tsh.1,950,000/:
                            JUMLA KUU NI Tsh.36,865,000/:
          LUBUNGO. ukamilishaji nyumba ya mwalimu  s/m igalula.Tsh.9,000,000/:ujenzi wa mradi wa maji lubungo, ngoma A, uko kwenye bajeti ila bado tunasubiri fedha zifike Tsh.1,600,000,000/:
             JUMLA KUU NI Tsh. 1,811,500,000/:
NO 10.KATA YA KATUNGURU.
                                           
                                             Diwani methew lubongeja
                                                                         kijiji jumakisiwani, ujenzi wa kisima kifupi  kjiji cha juma kisiwani (2010/11) tsh.4,250,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu juma kisiwani s/m. (2012/13)tsh.7,000,000/: kijiji cha katunguru. ukamilishaji wa chumba cha darasa s/m katunguru(2011/12)tsh.5,5000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa  chamabanda s/m(2012/13)tsh.5,500,000/:ukamilishaji wa chumba cha darasa katunguru sek,(2012/13)tsh.9,000,000/:ukamilishaji chumba cha darasa bugalama s/m.(2012/13)tsh.5,500,000/: upanuzi wa mtandao wa maji katunguru(2012/13)tsh.18,000.000/: ujenzi wa OPD katunguru.Tsh.45,000,000/: ujenzi wa extension yamaji katunguru, Tsh.18,000,000/:
                                       kijiji cha nyamtelela, ujenzi wa meza katika soko la mazao nyamtelela(2011/12)tsh.7,257,250/:  ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu nyamtelela sek,(2012/13)tsh.12,000,000/:ujenzi wa mradi wa maji toka katunguru hadi nyamtelela Tsh.734,000,000/:  ujenzi wa ofisi ya kata katunguru. Tsh.32,000,000/: ujenzi wa nyumba ya mganga zahanati ya nyamtelela (2011/12)tsh.45,000.000/:
                                     kijiji cha chambanda. ukamilishaji wa 0PD zahanati ya igalagalilo(2013/2014)tsh.43,000,000/:mradi wa maji ya bomba chamabanda hadi nyantakubwa713,252,100.
                                    kijiji cha kasomeko. ujenzi wa zahanati. Tsh.60,000,000/:

                        JUMLA KUU NI Tsh. 1,813,759,350/:

NO 11. KATA YA KAGUNGA.
                                              Diwani.michael masunzu.
                                                                    kijiji cha nyanchenche. ukamilishaji matundu ya vyoo s/m nyamalunda(2010/11) tsh. 3,000,000/: ukamilishaji matundu ya vyoo s/m nyamalunda (2011/12) tsh. 3,900,000/:ukamilishaji nyumba ya mwalimu nyalubanga (2011/12) tsh.7,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa nyanchenche sek (2011/12) tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu nyanchenche sek (2012/13) tsh.12,000,000/:ujenzi wa kibanio cha kudumu cha mifugo na choo katika lambo (2010/11) tsh.5,616,000/: matengenezo maalumu ya barabara ya sengerema kwenda ngoma A.(2011/12) tsh.84,872,000/:ujenzi wa vymba vya maabara nyanchenche sek. Tsh. 7,000,000/:
                                                                    kijiji cha lwenge.ukamilishaji matundu ya vyoo lwenge sek (2012/13) tsh.6,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu lwenge sek(2013/14) tsh.15,000,000/: ujenzi wa vyumba vya maabara lwenge sek7,000,000/:
                                                                    kijiji cha  nyanzumula.ujenzi wa OPDzahanati ya nyanzumula na nyumba ya mganga. Tsh.51,820,000/:
                                                                   kijiji cha kagunga. ujenzi wa visima 4 vya maji Tsh.62.572,000/;
                   JUMLA KU NI Tsh.274,780,000/:

  NO 12.KATA YA BUZILASOGA. A
                                                  Diwani david shilinde.
                                                                              kjiji cha buzilasoga.ukamilishaji wa chumba cha darasa buzilasoga sek (2011/12) tsh.9,000,000/:   UKAMILISHAJI WA CHUMBA CHA DARASA BUZILASOBA SEK( 2012/13 ) tsh. 9,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu buzilasoga sek 12,000,000/: ujenzi wa kibanio cha kudumu cha mifugo na choo katika josho(2010/11) tsh.41,723,600/:nyumba ya mwalimu buzilasoga sek Tsh.15,000,000/: visima 3 vya maji buzilasoga sek Tsh.69,000,000/; ujenzi wa choo na shimo la maji machafu kwenye josho (2011/2012) tsh.8,000,000/:vifaa vya kuezekea maabara buzilasoga sek na fedha za kulipa mafundi Tsh.5,400,000/:fedha kubadilishia madarasa 2   kuwa maabara 2. Tsh.5,000,000/:ukamilishaji wa madarasa 2 buzilasoga sek 3,000,000/: mifuko ya saruji 150 kwa ajili ya ujenzi buzilasoga sek. Tsh.2,850,000/:
                                                                        kijiji cha ikoni.ukamilishaji nyumba ya mwalimu s/m ikoni(2011/12) tsh.15,000.000/: ukamilishaji matundu ya vyoo s/m ikoni(2012/13) tsh.7,000,000/:ujenzi wa zahanati ikoni mifuko 100 ya saruji. Tsh.1,900,000/:
                                                                          kijiji cha igaka.uchimbaji wa bwawa la igaka. Tsh.35,000,000/:
                                                                          kjiji cha isome. ukamilishaji wa boma la zahanati isome Tsh,2,667,000/:
                                                                          kjiji cha kanyelele. visima 3 kanyelele Tsh.69,000,000/:
                                      JUMLA KUU NI  Tsh. 310,540,600/:

NO 13. KATA YA SIMA.
                                        Diwani.makoye lugata sengerema..
                                                                         kjiji cha sima. ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu sima sek(2011/12) tsh.12,000.000/: ukamilishaji nyumba ya mwalimu sima sek (2012/13) tsh.12,000,000/: ujenzi wa munada wa kjiji cha sima. Tsh.50,000,000/:ukamilishaji wa chumba cha darasa sima sek.(2011/12) tsh.9,000,000/:ujenzi wa matundu ya vyoo 6 sima s/m. Tsh.3,900,000/: kuwezesha ufugaji bora wa kuku wa asili(2013/14) tsh.1,610,000/: ujenzi wa hostel sima sek mfuko wa jimbo 18/10/2012. Tsh.1,340,000/: ujenzi wa choo matundu 6  s/m sima (2011/12) tsh.3900,000/: utengenezjai wa madawati s/m sima madawati 26 bajeti ya (2011/12) tsh.780,000/:matengenezo ya barabara sehemu korofi ya sima ikoni km 6.Tsh.15,000,000/:matengenezo ya kisima kirefu ambacho kiko sima ya zamani mfuko wa jimbo 19/07/2013. Tsh.4,000,000/:  kutoa bati 20 g.30 kwajili ya ofisi ya tawi mfuko wa jimbo 2012. Tsh.360,000/: ununuzi na usimikaji mashine ya kusindika mafuta ya alizeti (2014/15) tsh.12,500,000/:
                                                                           kijiji cha ishishang'holo. ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu ishishang'olo s/m(2012/13). tsh.7,000,000/:ukamilishaji wa OPD zahanati ya kjiji cha ishishang'holo.(2013/14)tsh.23,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu s/m ishishang'holo(2012/13) tsh.7,000,000/: ujenzi wa OPD zahanati ya ishishang'holo.2013/ 2014. tsh, 23,000,000/: matengenezo ya  sehemu korofi barabara ya sengerema, sogoso km 5 bajeti ya 2013-2014 tsh. 12,500,00/: ujenzi wa kalvati line 3 barabara ya sengerema,sogoso, 2012-2013, urefu wa km 17. tsh.10.500,000/: utengenezaji wa madawati 15 s/m ishishang'holo, 2012-2013.tsh.450,000/: matengenezo ya sehemu korofi barabara ya sengerema,sogoso km5 yenye urefu wa km17 bajeti ya mwaka 2013-2014. tsh.12,500,000/: ujenzi wa kalvati line 1 barabara ya sengerema-sogoso bajeti ya mwaka 2013-2014. tsh.3,500,000/:
                                                                     kjiji cha sogoso.ukamilishaji wa nyumba ya mtumishi zahanati ya sogoso 2012-2013 tsh.26,000.000/: ujenzi wa choo matundu 6 s/m sogoso 2013-2014,4,500,000/: ununuzi wa power tiller2. 2011-2012/ 2012-2013.9,000,000/:
                            JUMLA KUU NI Tsh. 265,340,000/:
NO 14. KATA YA IGULUMUKI
                                                 Diwani.thobias bukoma.
                                                                     kijiji cha igulumuki, ukamilishaji wa chumba cha darasa s/m iugulumuki 2011-2012.tsh.5,500,000/:ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu igulumuki s/m.tsh. 7,000,000/:ukamilishaji wa nyumba ya mganga katika zahanati ya igulumuki.2013-2014. tsh.28,000,000/: ukarabati wa daraja la igulumuki-isungang'holo 2013-2014.tsh.24,000,000/: matengenezo ya sehemu korofi isungang'holo-igulumuki km 6.5-2014. tsh.7,000,000/: ujenzi wa kalvati midomo 3 katika barabara ya isungang'holo- ugulumuki, tsh.9,000,000/:
                                                                  kijiji cha butonga. ukamilishaji wa nyumba 2 za walimu butonga sek. 2011/12/13. tsh.24,000,000/:ukamilishaji nyumba ya mwalimu butonga sek.2012-2013.tsh.12,000,000/: ukamilishaji chumba cha darasa butonga sek.2012-2013.tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa vyumba vya madarasa katika sek, butonga 2011/12/14. tsh.27,000,000/: uchimbaji wa visima virefu 3 katika kijiji cha butonga 2012 tsh.9,000,000/: uchimbaji wa bwawa katika kjiji cha butonga.2014-2015.tsh 35,000,00/:
                                                                  kijiji cha ijinga. matengenezo ya sehemu korofi katika barabara ya sima na ijinga hadi igulumuki km 5. 2014-2015.tsh.7,000,000/: ujenzi wa kalvati mdomo 1 kijiji cha ijinga 2014-2015. tsh.3,000,000/:
                                        JUMLA KUU NI Tsh.171,500,000/:
NO 15. KATA YA TABARUKA.
                                              Diwani. mathias budeba.
                                                               kijiji cha tabaruka. ukamilishaji wa chumba cha darasa s/m tabaruka 2011-12.tsh.5,500,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu tabaruka s/m 2011-12.tsh.7,000,000/:ukamilishaji wa chumba cha darasa s/m tabaruka2013-14.tsh.7,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa tabaruka sek.2011-12.tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa tabaruka sek 2012-13.tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu tabaruka sek.2011-12.tsh.12,000,000/:matengenezo ya barabara ya tabaruka-buyagu km6.tsh.6,700,000/:
                                                        kijiji cha mayuya. ukamilishaji wa matundu ya vyoo mayuya s/m2012-13.tsh.4,500,000/:
                                                        kijiji cha busulwangili ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu busulwangili s/m 2013-2014.tsh.9,000,000/:
                              JUMLA KUU NI Tsh.69,700,000/:
NO 16. KATA YA NYAMPANDE.
                                                 Diwani.george kazungu.
                                                       kijiji cha nyampande.
ukamilishaji wa chumba cha darasa tabaruka sek. 2011-12 tsh 9,000,000 ukamilishaji wa chumba cha darasa tabaruka sek. 2012-13 tsh. 9,000,000 ukamilishaji wa nyumba ya walimu tabaruka sek. 2012-13 tsh 12,000,000 ukamilishaji wa chumba cha darasa tabaruka sek. 2013-14.tsh.12,000,000/: ujenzi wa ofisi ya saccos nyampande 2011-2012.tsh.15,000,000/:  ujenzi wa jengo la rasilimali za kilimo kata ya nyampande(2011) tsh.30,000,000/: ujenzi wa choo na shimo la maji machafu kwenye josho 2011/12. tsh.8,000,000/: ujenzi wa matundu ya vyoo zahanati ya nyampande.2012/13. tsh.4,500,000/: uchimbaji wa kisima kirefu kijiji cha nyampande.2011/12.tsh.23,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa nyampande s/m. 2012/13.tsh5,500,000/: zahanati nyampande matundu 2.tsh.4,500,000/: s/m nyampande matundu 10.tsh.11,900,000/: uchimbaji wa barabara 2 kata ya nyampande km7.tsh.17,500,000/: ujenzi wa jengo la upashanaji habari kilimo na mifugo hatua ya mwisho.tsh. 75,000,000/:ukarabati wa nyumba ya afisa kilimo na mifugo umekamilika. tsh.10,157,000/: ujenzi wa ukamilishaji wa vyumba 5 vya madarasa vya nyampande s/m. tsh.3,600,000/: ujenzi wa s/m kawekamo (mpya) vyumba vitatu vya madarasa. tsh.5,286,000/: kata ya nyampande ujenzi wa maabara vyumba 3.tsh.6,000,000/:
                                                      kijiji cha nyasenga. ujenzi wa banda la soko la kuuzia mazao nyasenga.2011/12.tsh.18,000,000/: uchimbaji wa kisima kirefu kijiji cha  nyasenga s/m 2012/13.tsh.23,000,000/:ukamilishaji wa matundu ya vyoo nyasenga s/m 2012/13.tsh.4,500,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu nyasenga s/m.2012/13.tsh.7,000,000/: ujenzi wa kisima kirefu kijiji cha nyasenga 2012/13.23,000,000/: ukamilishaji wa opd ZAHANATI ya kijiji cha nyasenga.2013/14.tsh.23,000,000/:
               JUMLA KUU NI Tsh.360,343,000/:
NO 17. KATA YA MWABALUHI.
                                                    Diwani paulo lubongeja (alifariki 2014).
      ujenzi wa ofisi ya kata mwabaluhi.2012/13.tsh.40,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu mwabaluhi sek.2011/12.tsh.12,000,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa mwabaluhi sek.2012/13.tsh.9,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu balatogwa s/m.2012/13.tsh.7,000,000/: ujenzi wa matundu ya vyoo s/m.balatogwa 2013/14.tsh.4,500,000/: uchimbaji wa kisima kirefu balatogwa.2012/13.tsh.23,000,000/: matengenezo ya kawaida ya barabara ya sengerema-ngoma A.2013/14.TSH.10,000,000/: Uchimbaji wa kisima kirefu balatogwa 2013.tsh.23,000,000/: ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu balatogwa s/m.tsh.7,000,000/:ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa 2014.tsh.9,000,000/: ujenzi wa matundu 8 ya choo cha wanafunzi s/m balatogwa.tsh.4,500,000/:
     JUMLA KUU NI Tsh.149,000,000/:
         
                      H/W. halmashauli imenunua katapila(motor grader)2012/13.tsh.559,000,000/: ujenzi wa mitalo barabara ya sengerema mjini tsh.15,000,000/: ujenzi wa bwawa kwajili ya kilimo cha kiangazi(irrigation) bonde la katunguru-nyamahona-nyamtelela na nyamililo.tsh.800,000,000/:
             JUMLA KUU NI Tsh.1,374,000,000/:

TAARIFA YA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO LA SENGEREMA KWA MWAKA 2011-2012. AWAMU YA KWANZA.
1 .KATA YA NYATUKALA,
                                        Ujenzi wa chumba cha sule ya sekondari kilabela.-bati,60 g 28.tsh.1,260,000/:saruji mifuko tsh.27,540,000/: nondo mm 12,tsh.216,000/: JUMLA NDOGO Tsh.2,016,000/:
2. KATA YA MWABALUHI
                                       Ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari mwabaluhi. saruji mifuko 75.tsh.1,500,000/:
3. KATA YA IBISABAGENI.
                                        Ujenzi wa sekondari ya kata ibisabageni. nondo mm12 pc30-tsh.540,000/: saruji mifuko 60.tsh.1,200,000/:
                             JUMLA NDOGO.Tsh.1,740,000/:

4.  KATA YA NYAMPULUKANO.
                                     kuezeka darasa 1 la shule ya msingi nyampulukano.bati 44g 28.tsh.924,000/:ujenzi wa madarasa 2 s/m,saruji mifuko 30.tsh.600,000/: kupiga lipu madarasa 3 shule ya sekondari ngweli.saruji mifuko 30.tsh.600,000/: JUMLA NDONGO.Tsh.2124,000/: JUMLA NDOGO,Tsh.10,000,000/:
5. KATA YA NYAMATONGO.
                                      kuzuiamumomonyoko wa  udongo shule ya sekondari nyamatongo.saruji mifuko 82.tsh.1640,000/: nondo mm12 pc16.tsh.288,000/: wire meshi pc 5.tsh.67,500/:
                                   JUMLA NDOGO NI Tsh.1,995,500/:
6. KATA YA KATUNGURU.
                                    ujenzi wa zahanati ya igalagalilo.saruji mifuko.30.tsh.600,000/:kukamilisha madarasa shule ya msingi nyamtelela.saruji mifuko.70.tsh.1,400.000/: kukamilisha madarasa shule ya sekondari katunguru.saruji mifuko 30.tsh.600,000/:
                                 JUMLA NDOGO NI Tsh.2,600,000/:
7. KATA YA CHIFUNFU.
                                 ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi bugumbikiso.saruji mifuko 75.tsh.1,500,000/:
                                JUMLA NDOGO Tsh.1,500,000/:
8. KATA YA KASENYI.
                              ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi wisegele(mpya).saruji mifuko 75.tsh.1,500,000/:
                             JUMLA NDOGO NI Tsh.1,500,000/:
9. KATA YA NYAMAZUGO.
                            ujenzi wa choo cha kata na choo cha nyumba ya mwalimu shule ya msingi bongonya.wire meshi 2.tsh.40,000/:nondo mm12 pc 4.tsh.72,000/: pvc pipe pc4.tsh.68,000/: elbo 4 pc 4 tsh.28,000/:koki 4 pc 4 tsh.28,000/: sinki za vyoo 4. tsh.68,000/:bati pc 6. tsh,126,000/:
                           JUMLA KUU NI Tsh.1,530,000/:

10. KATA YA IGULUMKI.
                           ujenzi wa nyumba ya mwalimu. saruji mifuko 35, tsh.700,000/: ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa. saruji mifuko 40.tsh.800,000/:JUMLA NDOGO NI Tsh.1,500,000/:
11. KATA YA SIMA.
                            ujenzi wa zahanati ya isungan'holo.saruji mifuko 50.tsh.1,000,000/: mabati pc 50.tsh.630,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,630,000/:
12. KATA YA BUZILASOGA.
                            ujenzi wa chumba cha darasa shule ya sekondari buzilasoga.bati pc.56.tsh.1,176,000/: saruji mifuko 18.tsh.360,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,536,000/:
13. KATA YA TABARUKA.
                           ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi tamabu. saruji mifuko 45.tsh.900,000/: bati pc 60.tsh.1260.000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,160,000/:
14. KATA YA NYAMPANDE.
                          ujenzi wa shule ya msingi kawekamo. saruji mifuko 50.tsh.1,000,000/: chumba cha darasa shule ya sekondari tabaruka.saruji mifuko 15.tsh.300,000/: kukarabati ofisi s/m nyampande.saruji mifuko 10.tsh.200.000/: kukamilisha boma shule ya m/s nyampande.saruji mifuko 10.tsh.200,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,700,000/:
15. KATA YA BUSISI.
                          ujenzi wa vyoo shule ya sekondaribusisi.saruji mifuko 50.tsh.1,000,000/: bati pc8.tsh.168,000/: wore mesh 2.tsh. 40,000/: nondo mm 10 pc12.tsh.204,000/: pvc pc4 tsh.51,000/:nondo mm12 pc12.tsh.216,000/: sinki ya vyoo pc4.tsh.68,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,747,000/:
16. KATA YA BUYAGU.
                         ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari bitoto.saruji mifuko 100.tsh.2,000,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,000,000/:
17. KATA YA IGALULA.
                        kukamilisha nyumba ya mwalimu shule ya sekondari ngoma.saruji mifuko 50.tsh.1,000,000/: bati pc30.tsh.630,000/: mbao pc 38.tsh.543,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2173,000/:
18. KATA YA KAGUNGA.
                         kuezeka vyumba 2 shule ya sekondari nyanchenche.bati pc 116.tsh.2,436,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,436,000/:
19. KATA YA KISHINDA.
                          ujenzi wa darasa shule ya sekondari kishinda.saruji mifuko.30.tsh.600,000/: ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi isebya.saruji mifuko 30.tsh.600,000/: ujenzi wa zahanati kijiji cha mami.saruji mifuko 30.tsh.600,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,800,000/:
20. KATA YA BUYAGU.
                         ujenzi wa box kalvert barabara ya nyitundu-bitoto.10,897,703/: JUMLA KUU NI Tsh.46,085,203/:
TAARIFA YA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO LA SENGEREMA KWA MWAKA 2012-2013. AWAMU YA PILI.
1. KATA YA NYAMPULUKANO.
                         ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa s/m mnadani.saruji mifuko.60.tsh.1,140,000/: ukamilishaji wa madarasa 3 shule ya sekondari ng'weli.saruji 36.tsh.684,000/: ukarabati wa ofisi ya kata. saruji mifuko 10.tsh.190,000/: JUMLA NDOGO Tsh.2,014,000/:
2. KATA YA KISHINDA.
                         ujenzi wa zahanati kijiji cha mami.saruji mifuko 10.tsh.190,000/: uwekaji wa sakafu vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi isebya.saruji mifuko 25 tsh.475,000/: uwekaji wa sakafu vyumba 2 vya madarasa shule ya m/s kishinda.saruji mifuko 24 tsh.456,000/: ujenzi wa chumba cha darasa kishinda sek saruji mifuko 10.tsh.190,000/: ujenzi wa chumba cha darasa s/m tunyenye saruji mifuko 13.tsh.247,000/: ujenzi wa shule ya sekondari tunyenye saruji mifuko 20.tsh.380,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,938,000/:
3. KATA YA BUYAGU.
                       ukamilishaji wa choo cha zahanati ya isole.saruji mifuko 49.tsh.931,000/: nondo mm16.tsh.256,000/: nondo mm12.tsh.36,000/: wire mesh pc4 tsh.84,000/: binding wire pc7.tsh.21,000/: bomba2pvc pc2.tsh.30,000/: mbao 2x3 pc 6.tsh.48,000/: mabati g.28 pc6.tsh.147,000/: misumari 3 kilo1 tsh.3,000misumari 4 kilo1.tsh.4,000/: misumari 1.5 kilo1 .tsh.5,250/: misumari ya bati kilo2.5tsh.8,750/: milango 2.tsh.260,000/: mbao za fremu pc6.tsh.108,000/: rangi ya maji20lts.tsh.33,000/: rangi ya mafuta dumu12.tsh.57,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,071,000/:
4. KATA YA IGULUMKI.
                      ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa s/m kishinda.bati g.28(ft 10)67.tsh.1,641,000/:bati g 28(ft6)26.tsh.420,000/: misumari5.kg7.tsh.21,000/:misumari2,2.5kg tsh7,500/: misumari 3,2kg.tsh.6,000/: misumari bati 10kg.tsh.35,000/:binding wire 4.tsh.12,000/: makoa 12.tsh.7,200/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,150,200/:
5. KATA YA CHIFUNFU.
                     ujenzi wa choo shule ya sekondari nyakahako.nondo mm16 pc8.tsh.256,000/:wire mesh.pc8.tsh.168,000/: saruji mifuko 50.tsh.950,000/: bati g 28(ft10)pc24.tsh.588,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh. 1,962,000/:
6. KATA YA KAGUNGA.
                         ukamilishaji wa chumba cha darasa shule ya msingi sigu.mabati g.28(ft 10)30 tsh.735,000/: mbao 2x3 26pcs.tsh.208,000/: misumari ya bati 3kg tsh.9,000/:  misumari 5' 2kg tsh.6,000/: misumari 4' 2kg tsh.6,000/: misumari 2' 1kg tsh.3,000/: waya wa kenchi 3kg.tsh.9,000/: saruji mifuko 42 tsh.798,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,934,000/:
7.KATA YA  NYATUKALA.
                           ujenzi wa kivuko (daraja). saruji mifuko 70 tsh.1,330,000/: nondo mm 12, 12pcs tsh.216,000/: wire mesh 20pcs tsh. 420,000/: binding wire 10pcs tsh.30,000/: mbao 1x8,40pcs tsh.560,000/: misumari 2'and 3' 10kg tsh.30,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,586,000/:
8. KATA YA IGALULA.
                                  ukamilishaji wa nyumba ya mwalimu shule ya sekondari ngoma.fremu za milango(mipilipili)na nondo 16mm size 0.9x2.35m..5 tsh.265,000/: shutter za milango,mbao 1x8 size 0.9x2.35....5@130,000 tsh.650,000/:vitasa union uk...5 tsh.200,000/: fremu za madirisha,mba0 2x6 za mkulungu pamoja na nondo 16mm size (i)1.3x1.2m....7 tsh.920,000/: (ii)2.0x1.2m...1 tsh.115,000/: shutter za vioo vya madirisha kwa mbao za mkulungu tsh.406,000/:(i) 1.3x1.2m...7 tsh.58,000/: (ii)2.0x1.2m....1 tsh.14,000/: bawaba size 3'....28 tsh.16,000/: makoa size 3'....28 tsh.98,000/: window stays..28. JUMLA NDOGO NI Tsh.2,742,800/:
9. KATA YA NYAMPANDE.
                                 ukamilishaji  wa chumba cha darasa shule ya msingi nyampande.saruji mifuko 30.tsh.570,000/: ujenzi wa zahanati lwenge b.saruji mifuko 30.tsh.570,000/: ujenzi wa chumba cha darasa tabaruka sek.saruji mifuko 30570,000/: ujenzi wa chumba cha darasa shule mpya ya kawekamo.nondo mm12,30pcs tsh.540,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,440,000/:
10. KATA YA IBISABAGENI.
                                  ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa shule ya sekondari.mabati g.28(ft 10)50.tsh.1,225,000/: saruji mifuko 35. 665,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,890,000/:
11. KATA YA MWABALUHI.
                                  ujenzi wa vyumba 4 vya shule ya sekondari. bati g.28(ft 10)50 tsh.1,225,000/: mbao 2x3 50pcs tsh.400,000/: mbao 2x4 50pcs. tsh.400,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh. 2,025,000/:
12. KATA YA SIMA.
                               ujenzi wa hostel shule ya sekondari sima.nondo mm12 16pcs tsh.288,000/: nondo mm6 10pcs tsh.50,000/: saruji mifuko 67 tsh.1,273,000/: misumari  2' 3kg tsh. 9,000/: misumari 3' 4kg tsh.12,000/: misumari 4' 3kg tsh.9,000/: binding wire 4kg tsh.12,000/: mbao 1x8 21pcs tsh.294,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.1,947,000/:
13. KATA YA BUSISI.
                               ujenzi wa choo kituo cha afya busisi. saruji mifuko 61 tsh.1,159,000/:mabati g.28 6pcs (ft 10) tsh.147,000/: mbao za fremu 2x6 6pcs tsh.108,000/: mbao ngumu 1x8 10pcs tsh.180,000/: nondo 16mm 10pcs tsh. 320,000/: binding wire 3kg.tsh.9,000/: pvc 3 tsh.45,000/:sinki 2 tsh.36.000/:rangi ya mafuta 20lts tsh.33,95,000/: rangi ya maji 20lts tsh.33,000/: misumari 4kg tsh.12,000/: nondo 12mmm 3pcs tsh.54,000/: wire mesh 2pcs tsh.42,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,240,000/:
14. KATA YA KATUNGURU.
                                    ujenzi wa zahanati chambanda mashariki.saruji mifuko 50 tsh.950,000/: ujenzi wa OPD chamabanda saruji mifuko 50 tsh. 950,000/: ukamilishaji wa chumba cha darasa sekondari ya nyamtelela saruji mifuko 30 tsh.570,000/: ukamilishaji wa chumba ca darasa shule ya sekondari katunguru saruji mifuko 20 tsh.380,000/: JUMLA NDOGO NI 2,850,000/:
15. KATA YA BUZILASOGA.
                                    ujenzi wa chumba cha darasa shule ya sekondari. mabati g.28 (3m)8pcs tsh.168,000/: mbao 4x4 50pcs 800,000/: mbao 2x3 33pcs tsh.264,000/: mbao 1x8 11pcs tsh.154,000/: misumari ya bati 10kg 30,000/: misumari 5' 12kg tsh.36,000/:misumari 4' 2.5kg tsh.7,500/: misumari 2' 2kg tsh.6,000/: saruji mifuko 20 tsh.380,000/: nguzo 75mmm 3pcs tsh.120,000/: binding wire 4kg tsh.12,000/: makoa 60pcs tsh.36,000/: dawa ya mchwa 20lts tsh.30,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,043,500/:
16. KATA YA TABARUKA.
                                   ujenzi wa chumba darasa shule ya sekondari TAMABU. saruji mifuko 45 .bati g.28 (ft 10)52pcs. JUMLA NDOGO NI Tsh.2,129,000/:
17. KATA YA NYAMAZUGO.
                                    ujenzi wa ofisi ya walimu shule ya sekondari nyamazugo. saruji mifuko 49 tsh.931,000/: bati g.28 (ft 10)25pcs.tsh.612,000/: wire mesh.1 tsh.21,000/: vitasa union 2pcs tsh.80,000/: nondo 12mm 5pcs tsh.90,000/: cealing board 8pcs tsh.160,000/:rangi nyeupe 20lts tsh.33,000/: rangi lita 4 (green) tsh.76,000/:misumari yabati 6kg tsh. 18,000/: misumari 3' 6kg tsh.18,000/:misumari 4' 4kg tsh.12,000/: misumari 2' 2kg tsh.6,000/: misumari 6' 2kg tsh.6,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh.2,063,500/:
18. KATA YA KASENYI.
                                ujenzi wa matundu ya vyoo 32 sekondari ya nyamahona. mabati g.28 (ft8)10pcs tsh.210,000/: saruji mifuko 90 tsh.1,710,000/: JUMLA NDOGO NI Tsh. 1,920,000/:
19. KATA YA NYAMATONGO.
                                   matengenezo ya mfumo wa maji ya mvua kwajili ya kuzuia mmomonyoko wa udongo sekondari ya nyamatongo. mkandarasi 6,401,360/: JUMLA NDOGO NI Tsh. 6,401.360/:
20. KATA YA KASUNGAMILE
                                 ujenzi wa daraja nyachina mkandarasi 19,038,300/: JUMLA KUU NI Tsh. 64,384,860/:
                                
       HIZI NI  BAADHI TU YA KAZI AMBAZO  MH: WILLIAM  MGANGA  NGELEJA AMEZIFANYA KWA KIPINDI CHAKE CHA UONGOZI WAKE KATIKA JIMBO LA SENGEREMA KAMA MBUNGE.

1 comment:

  1. Sasa ndugu yangu kuku, umesoma na kuuelewa vizuri huo mhitasari wa Mh uliyemtaja hapo? Naona kazi nyingi zionekanazo hapo ni kazi za madiwani. Labda nimpongeza kwa kuwasimamia madiwani wetu ili watekeleze wajibu wao. Sasa ni vizuri pia tujue yeye kama mbunge kafanya nini? Otherwise sioni tofauti ya diwani na mmbunge wetu, Kama wewe unaiona basi nielimishe, otherwise twahitaji maendeleo jamani...........................

    ReplyDelete