MFAHAMU PHILLEMON HATARI TANO – MBUNGE MTARAJIWA JIMBO LA SENGEREMA






MtaalamaliyebobeakwenyetaalumayaUongozinaUtawalawaRasilimaliWatupamojanaBiasharahapa Tanzania Bwana PhillemonHatariTano (45);nimzaliwawakijiji cha Nyamtelela kata yaKatunguruwilayayaSengerema, nimsominamzoefuwakuongozawatuzaidiyamiaka 20 kwenyetaasisimbalimbalihapa Tanzaniazikiwemochuokikuu cha Dar es Salaam, Mbeya Cement Co Ltd, Geita Gold Mining Ltd nakwasasaniMkurugenziMtendajiwakampuniya P5 HR Consulting Ltd inayojishughulishanaUshaurinaMafunzoyaUongozikwenyemakampunimbalimabalihapa Tanzania.TanoanashahadayaUtawala BA(Ed)  tokachuokikuu cha Dar es Salaam naShahadayaUzamiliyaUtawalanaRasilimaliWatu (MA) tokachuokikuu cha Dar Es Salaam. PiaanastashahadayaUtawalawabiasharatokachuokikuu cha Pretoria – AfrikaKusini. Pamojanahayo Bwana TanopiaanaShahadayaUzamiliyaUtawalawaBiashara (MBA)tokachuo cha Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI) kwakushirikiananachuo chaMaastricht School of Management (MsM), Netherlands.Bwana Tanoanauzoefuwakutoshakabisakuliongozajimbo la Sengerema. Anasemajimbo la Sengeremalimekosakiongozianayewezakuunganishanguvuzawanasengeremakwautatuziwakerosuguyakiwemomajisafi; inashangazasanakuonamajiyabombaShinyanganaKahamahalafusengeremaambayoimezungukwanaziwa Victoria hainamaji. Alizitajikerozingineambazozimemsukumakugombeaubungenipamojana:

o   Barabarambovuhasavijijininamitaaniwakatiuzalishajiwamazaoyoteyachakulanabisharayanatokavijijini
o   AFYA – UpungufuwavituovyaAfya, Zahanati, Vifaa, MadawanaRasilimaliwatu au wafanyakazi,
o   ELIMU – Michangomingi, hakunamadawati, hakunavitabu, madaiyawalimu, nafasiyaSengeremakitaifahainamwelekeo, Hakunamaabara, shulezawanafunziwamahitajimaalumhakuna,
o   KILIMO na UVUVI – Kerozawavuvinikukamatwakamatwaovyonamaliasili, beizasamakiduniwanazolipwanawenyeviwandavyasamaki, Beidunizamazao, gharamayapembejeon.k
o   WAFUGAJI – Hakunamajoshoyakuogeshamifugonamadawanibeijuu
o   VIJANA – HakunaajirakwasababuhakunauwekezajimkubwaSengerema, Hakunausimamiziwafursazauwezeshwajikwavijanajimboni, machingakutengewamaeneoambayowatejahawapitikwawingi,
o   KINAMAMA - Hakunausimamiziwafursazauwezeshwajikwavijanajimboni, Kerozamaji, matibabu, kilimo, usafiri, elimu, chakula, mama ntiliekufukuzwaovyo,
o   KERO yawananchiwaliobomorewavibandavyaosoko la Sengerema – naatahakikishahakiyaohaipotei
o   KERO yaardhinaupatikanaji wake – migogoroyaardhinabeikubwazaviwanja
o   WAZEE – Hakunamatibabu, Pension ndogon.k WAZEE wametelekezwa … Bora kufakulikokuwamzeeSengerema….Ahadiyaserikaliyamatibabuyawazeeburehaijatekelezwakwakukosausimamizimadhubutijimboni
Bwana Tanoambayenimsomialiyetulianamipangilioya sera zakezauhakika; anasemailikukabiliananakerohizo, tayariameshaandaaMpangokaziwamudamfupi(Short Term Strategic Plan) wamiakamitatukutatuakerohizokwakushirikiananawananchiwajimbo la Sengerema.Piaanampangokaziwamudamrefuwamiakasabatayarikwautekelezaji. Bwana Tanoambayepianimleziwajumuiyayawazazi (CCM) wilayayaSengerema, aliwahikugombeaubungemwaka 2005 naaliposhindwakwenyekurazamaoni; akamuakutuliailiamuachie Bwana NgerejaawafanyiekaziwananchiwaSengeremakwamiakakumiLakinibaadayakufanyautafitikatikajimbozima la Sengerema – viijijikwavitongoji, akagunduamapungufumengikatikautekelezajiwailaniyauchaguziyachamachake cha mapinduziuliosababishwanaukosefuwausimamizimadhubutiwamiradimbalimbalijimbonihumo.
Bwana Tanokwamaonoyake (Vision) anasemaSengeremainahitajikiongozianayeonambaliilikufanyakazinawananchinahatimayeSengeremaiwewilaya bora kabisamkoaniMwanzakatika Nyanja zotezauzalishajimalikwamaendeleoyawananchi. Alitajivituvinneambavyo baba waTaifaalisemailituendeleetunahitajiwatu, ardhi, siasasafinauongozi bora. Kati yahivyovyotevipoisipokuwauongozi bora ndaniyajimbo la sengeremaunakosekananayeyendosuluhisho la changamotohiyokwasasa.
Bwana TanoalitoaraiKwawananchiwajimbo la Sengeremakuwamakiniwakatihuukwakuchaguakiongozimwenyeuwezowakuwaongozailikufikialengo la mabadilikowanayoyatarajia. Wawewatulivunawasikurupukewalakurubuniwakwasababuyapesazamtu au kufuatamkumbowamabadilikohasiyasiyonatija; wafanyemaamuzikwahekimanabusarakulingananakerozinazowazungukanautatuzi wake.

No comments:

Post a Comment