Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka
kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Kupitia
bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo
akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo
leo” na Ice Prince
“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo
Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.
.png)
No comments:
Post a Comment