Mchambuzi
Mkuu wa Mifumo ya Komputa wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi (DCC),
January Ntisi akizindua kitabu cha ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa
za Kulevya ya Umoja wa Mataifa, kwenye hafla ya uzinduzi uliofanyika
Machi 4, MAELEZO, jijini Dar es salaam. Kushoto ni Afisa Mipango wa
Umoja wa Mataifa, Immaculata Malyamkono-Nyoni na katikati ni Makamu
Mwenyekiti wa Mtandao wa Kupambana na Watumiaji wa Madawa ya
Kulevya,Very Kunambi. (Picha na Andrew Chale).
Afisa
habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na
uzinduzi wa ripoti ya Kupambana na dawa za kulevya ya Umoja wa Mataifa.
Kulia ni mgeni rasmi Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta wa Tume ya
Taifa ya kudhibiti Ukimwi (DCC), January Ntisi na kushoto ni Afisa
Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma
Ledama.
No comments:
Post a Comment