Madhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa wilaya ya sengerema yadhimishwa katika viwanja vya jeshini kata ya nyatukala.
Mgeni rasmi katika sherehe hizo ni mkuu wa wilaya ya sengerema Bi, zainab telaki ambae aliwakilishwa na mkurugenzi wa wilaya sengerema Bi, malietha kasongo.
Vikundi mbali mbali vikitoa burudani katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Akina mama wakitoa hotuba yao kuhusu changamoto zinazo wakabiri.
Mgeni rasmi akikagua mabanda yaliyopo katika uwanja wa jeshini.
Mabanda mbalimbali yakionyesha bidhaa wanazouza na kutengeneza.
Banda la huduma ya kwanza.
Banda la benki ya NMB sengerema.
Banda la bidhaa mbalimbali.
Mgeni rasmi akiwa na afisa maendeleo ya jamii (w) bwana bushaija.
Jeny tindosi akihutubia kwa niaba ya mwenyekiti wa halmashauri.
Mgeni rasmi akihutubia wananchi.
Mgeni rasmi akipokea zawadi kutoka katika kikundi cha kinamama.
Mgeni rasmi akipata chakula na wageni wengine.
Timu ya netball ya halimashauri.
Timu zote ni za halmashauri ya sengerema.
wachezaji wa timu ya young boyz wakisubiri mchezo wao na timu ya halimashauri( sedico).
Timu ya sedico wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na young boyz.
Mgeni rasmi akielekezwa kuzikagua timu.
kapteni wa timu ya sedico akiwatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi.
Kapteni wa timu ya young boyz akiwatambulisha wachezaji kwa mgeni rasmi.
Wachezaji wa timu zote mbili wakipata nasaha kutoka kwa mgeni rasmi.
Timu ya sedico.
Timu ya young boyz.
wananchi wakifatilia shughuli zinazoendelea.
No comments:
Post a Comment