Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bibi Leah Kihimbi akimkaribisha mgeni
rasmi kufungua kikao cha kumi cha Sekta ya Utamaduni jana jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel na katikati ni Mkurugenzi
msaidizi Lugha Bibi Shani Kitogo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Profesa Elisante Ole Gabriel akiwasalimia wadau wa Utamaduni huku akiwa
ameshika moja ya dhana za utamaduni alipokua akifungua kikao cha kumi
cha Sekta ya Utamaduni jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi
msaidizi Lugha Bibi Shani Kitogo.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa
Elisante Ole Gabriel akizungumza na wadau wa Utamaduni alipokua
akifungua kikao kazi cha Sekta ya Utamaduni jana jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Lugha Bibi Shani Kitogo.
No comments:
Post a Comment