BREAKING NEWS! KAPTENI KOMBA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu.
Katibu mipango wa TOT, Gasper Tumaini ameithibitishia Saluti5 kuwa ni kweli Komba amefari na taarifa zaidi zitatoka hapo baadae.

No comments:

Post a Comment