Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka
Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima (katikati)
akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I. Kutoka kulia ni Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage na Waziri wa
Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene. Kushoto kabisa ni Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akifafanua jambo katika ziara hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika kituo cha kuchakata gesi cha Kinyerezi.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene (kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kumalizika kwa ziara. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, Mkurugenzi
wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James Mataragio na
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe.
Charles Mwijage (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa
Wizara ya Nishati na Madini na wataalamu wa mradi wa kuchakata gesi wa
Kinyerezi.
No comments:
Post a Comment