NEW AUDIO:BEN POL

 Mkali wa R&B anae wakilisha code ya 255 Benald Paulo aka Ben Pol mkali wa hit songs kama Nikikupata, My number one fan na nyingine kibao,ame release track yake mpya hii leo iitwayo SOPHIA
 
Mkali huyu anae wakilisha mkoa wa Dodoma

No comments:

Post a Comment